Vijana mengine huwa mnajitakia Wenyewe kwa Tamaa zenu za Kupenda Kuwakurupukia Mahawara za Wakubwa Barani Afrika na Kuwatongoza hovyo!

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Wewe kila mahala ilikuwa inaimbwa tu kuwa Miss Werasaki a.k.a Tidoki Njoo Uketi ni Chakula Kubwa kabisa ya Kimahaba ya Mkemia aliyefuzu Ukemia wake Mlimani Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Kuipata Doctorate yake huko nchini Ujerumani halafu na Wewe kwa Tamaa zako za Nyege zako Mshindo unataka Kugusa hapo hapo anapogusa aliyekuamini na kukuweka hapo ulipo Kidhamana.

Haya kama hiyo haitoshi kumbe naambiwa ulishatonywa na hadi Masela tena kutoka Kitengoni kabisa ( wanaokupenda ) kuwa Kutongoza tongoza Kwako hovyo hapo ulipo na hasa kwa huyo Tidoki Njoo Uketi wa Werasaki Kunafuatiliwa hivyo uachane nae ukajitia Kudinda na kutaka Kumuiga Mtoto wa Mjini Ali Kiba ambaye mpaka leo anaunyiri ( anakula ) tu huo Mzigo kwa raha zake.

Kwahiyo mnavyotuona Sisi akina Mzukulu hatupendi Kutongoza hovyo Wake za Watu Maofisini na tunanunua tu Migoma mnadhani ni Mabwege?
 
Mwenyewe sina kazi ila nimejiajiri nikimtokea Kidoti, Mkuu atakuja kunitumbua au ataniachia kwa sababu mie nimjasiriamali
 
Wewe kila mahala ilikuwa inaimbwa tu kuwa Miss Werasaki a.k.a Tidoki Njoo Uketi ni Chakula Kubwa kabisa ya Kimahaba ya Mkemia aliyefuzu Ukemia wake Mlimani Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na Kuipata Doctorate yake huko nchini Ujerumani halafu na Wewe kwa Tamaa zako za Nyege zako Mshindo unataka Kugusa hapo hapo anapogusa aliyekuamini na kukuweka hapo ulipo Kidhamana.

Haya kama hiyo haitoshi kumbe naambiwa ulishatonywa na hadi Masela tena kutoka Kitengoni kabisa ( wanaokupenda ) kuwa Kutongoza tongoza Kwako hovyo hapo ulipo na hasa kwa huyo Tidoki Njoo Uketi wa Werasaki Kunafuatiliwa hivyo uachane nae ukajitia Kudinda na kutaka Kumuiga Mtoto wa Mjini Ali Kiba ambaye mpaka leo anaunyiri ( anakula ) tu huo Mzigo kwa raha zake.

Kwahiyo mnavyotuona Sisi akina Mzukulu hatupendi Kutongoza hovyo Wake za Watu Maofisini na tunanunua tu Migoma mnadhani ni Mabwege?
Magu alipokuwa Dodoma alimwambia Mdogo wangu Katambi aoe, lakini leo alipokuwa Kisarawe sijamsikia akimwambia Jokate aoelewe, wakuu hamuoni kama hiyo ni double standard ?
 
Back
Top Bottom