Vijana wa UVCCM tunaongoza kwa furaha Tanzania, hatutazeeka mapema

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Habari ndio hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge.
Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba😂😂😂😂

Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA wanaishi kwa hofu na mashaka kama mashetani😂😂😂

Upande wapili vijana wa UVCCM ni shangwe tu kila kukicha.

Sasa nyie BAVICHA sikieni niwaambie, furaha inaongeza umri wa kuishi, CCM ni chama chenye furaha ndio maana kimeshika dola kwa miaka zaidi ya 50 na kinadunda tu.

Fuatilia utajua vyama vya upinzani vinajiua kwa manung'uniko kila kukicha.

Msalimieni DJ Gambe yeye ndio mtu pekee mwenye furaha huko Ufipa wengine wote ni huzuni tu.
 
Hivi icho kikundi kinachojiita Bavicha ni kikundi gani...?kundi halina hata kadi...genge la wahuni.
 
Habari ndo hiyo, yaani hata huku jukwaani nyuzi za vijana wa BAVICHA ni zakinyonge mno, mara hawaiamini tume hii iliyowatangaza Sugu, Mbowe, Lema, Msigwa na wengine kuwa wabunge.
Mara hawawaamini polisi wanaolinda raia na mali zao mara wanadai katiba

Kwakifupi hawa machalii wa BAVICHA wanaishi kwa hofu na mashaka kama mashetani

Upande wapili vijana wa UVCCM ni shangwe tu kila kukicha.

Sasa nyie BAVICHA sikieni niwaambie, furaha inaongeza umri wa kuishi, CCM ni chama chenye furaha ndomaana kimeshika dola kwa miaka zaidi ya 50 na kinadunda tu.

Fuatilia utajua vyama vya upinzani vinajiua kwa manung'uniko kila kukicha.

Msalimieni DJ Gambe yeye ndo mtu pekee mwenye furaha huko ufipa wengine wote ni huzuni tu.
Mwanaume uko CCM tena kijana kwakweli nakuona kama demu wangu Suzy mwenye Gonorea
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom