vijana

  1. F

    JamiiForums Tanzania Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

    Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu. Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

    Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti. Nini kimewatuliza? Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza...
  3. JamiiForums Tanzania 2025: Vijana ni taifa jipya Tanzania

    Habari Tanzania! Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani. Vijana na wazee wachache wanaojitambua napenda kuwasihi mambo bado; umsiogope; mwisho wao waliowatesi wenu ndio mwanzo wa furaha kuu yenu na...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  6. JamiiForums Tanzania Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU Na, Robert Heriel Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

    Habari za boxing day wananchi, Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma. Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Profesa: Waalimu wenzangu, hivi mnawafundisha nini hawa vijana?!"

    TUJIKUMBUSHE.. "WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!" MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
  9. JamiiForums Tanzania BEITO: Tunahitaji vijana wenye vipaji vya; Kusuka, Kupaka kucha rangi, Kufanya make-up na Kunyoa mitindo mbalimbali

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Tunatangaza nadfasi za kazi kwa vijana wa kike na kiume wenye vipaji na ujuzi wa kutoa huduma zifuatazo...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Vijana poleni sana!

    Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata Serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Poleni vijana mnaomaliza vyuo kipindi hiki. Mnanyanyaswa na kudharauliwa sana na viongozi, eti mjiajiri wakati wao wana ajira

    Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Zamani nilikuwa nikihisi kuwapa vijana nyadhifa za juu kutasukuma maendeleo kwa kasi, kumbe nilijidanganya

    Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi. Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
  14. JamiiForums Tanzania Mr. Kuku ahukumiwa kulipa fidia TSh. Bilioni 5.4, faini Tsh. Milioni 5 au jela miaka 5

    Mahakama ya Hakimu Mkazi, imemhukumu mfanyabiashara Tariq Machibya maarufu Mr Kuku, kulipa faini ya sh. milioni tano au kwenda jela miaka 5, baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya...
  15. JamiiForums Tanzania Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

    Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana (Jobless) siku hizi mawazo yao ni Kubet, Ngono, Starehe na Lawama halafu uridhi

    Nimefanikiwa kukutana na kukaa a vijana na washikaji tofauti vijiwe tofauti ila ma jobless wanaongoza kwa kuwaza ujinga sana kuliko namna ya kujikwamua katika hali alio nayo Unakuta ni kijana anawaza kuendesha gari ya baba kidogo kupiga masela vizinga na wengine wameka kama mitego wanasubiria...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Tanzania ajira hakuna au vijana ndio hawaajiriki?

    Habari wadau! Ebu leo tuongee ukweli hivi kweli Tanzania ajira ni tatizo au tatizo ni wahitimu wetu na vyuo vyetu vinavyozalisha hao wahitimu.? Si kwamba kuna vyuo vinatoa wahitimu wepesi wenye degree na GPA za chupi na zenye uzito wa kinyoya na weupe kichwani kabisa kiasi ambacho hata...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wasio na ajira waache kuiangalia Serikali, watumie YouTube kujinasua kiuchumi

    Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT talents na kushinda dola Milioni Moja.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ni zamu ya Dkt. Kigwangalla kufikiria nje ya box maana vijana wanapaswa kujiajiri wasisubiri kuajiriwa!

    Aliyekuwa waziri wa Utalii na Mali asili mara nyingi hupenda kuwaambia vijana wafikiri nje ya box wajiajiri na wasisubiri kuajiriwa na Serikali. Nadhani sasa Kigwangalla ataongea lugha moja na vijana. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…