vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Dkt. Magufuli pigo kwa vijana wapenda siasa

    Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN. Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
  2. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

    Tujikumbushe changamoto za kutanda.
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanafungwa na kuteseka magerezani kwa kubambikiwa mimba na wanafunzi. Je, ushahidi wa mhanga unatosha kumtia hatiani mtuhumiwa?

    Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii. Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
  4. K

    JamiiForums Tanzania UDSM acheni kuharibia vijana future zao

    Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
  5. JamiiForums Tanzania Vijana fanyeni siasa za haki ili tawala zinapobadilika muendelee kuaminika

    Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa mujibu wa Katiba ya nchi, mkifanya hivyo hata mwisho wa madaraka yenu hamtaishi kwa mashaka na wala...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana 10 wajasiriamali tuungane kwa kuunda kikundi kimoja cha uzalishaji

    Habari ya leo wakuu, Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze kutambulika na bidhaa zetu tunazozalisha zitambulike. Lengo la kuungana 1.Kushughulikia vibali vyote...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana tumesahaulika

    Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya. Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kitanzania hawana tofauti na Wazee wao. Wamezoea shida mpaka shida zimekuwa wao

    Moja ya jambo ambalo huwa linanisikitisha ni kuona kuwa tayari vijana wakitanzania katika Umri wa miaka 25-45 wanawaza kama wazee wenye Miaka 70-90 Nchi nyingine wazee wa miaka 60 wanawaza kama vijana wa miaka 25-45. kuna tofauti kubwa sana. Mtanzania anaweza furahi sana unapomsimulia kuwa Jana...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana umri unaenda sasa muanze kuwa serious. Shauri yenu, mtakuja kutulaumu bure

    Jamaa yangu ana mdogo wake kamaliza chuo mwaka Jana. Amekaa Mtaani kodi imeisha akakosa pa kukaa. Kaka yake ni mtu wangu wa karibu. Akanambia mdogo wake anakosa pa kukaa. Jamaa yupo Dodoma. Pale home nina Servant Quarter. Nikamwambia aje akae pale mpaka akichoka. Vyumba viwili, jiko,s ebule na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ngoja leo tuambiane ukweli Vijana wenzangu namna ya kufanikiwa kiuchumi

    Wewe una miaka 40+ bado huna Nyumba, Huna Gari. Hata ukija pata umebakiza miaka 20 au 10 ya kuenjoy. Miaka 40, 50 hukuwa na gari unapata pesa badala uwekeze kwa wanao ndio unaenda nunua gari. Ili iweje sasa? Anyway kama una usafiri endelea kutumia. Huo na Sehemu ya kujihifadhi. Nyumba tunajenga...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa sisi vijana kuwa makini na huu upotoshaji kabla hatujachukua maamuzi ambayo tutayajutia kesho

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia na kuona baadhi ya watu wakitushauri vijana kuhusu baadhi ya maswala hasa yanayohusu elimu bila kufanya upembuzi yakinifu au kuwa na data za ku-justify arguments zao. Hoja yao kubwa imekuwa 'zama zimebadilika siku hizi' mara oooh elimu sasa haina nafasi, mara...
  12. JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana Wizara ya Elimu, Wizara ya Afya, TAMISEMI, Wizara ya Habari na Wizara ya vijana kwa tangazo hili

    Hivi Karibuni kuna Tangazo linapita kwenye TVs zetu likionyesha binti wa chuo na kijana wachuo kama sijakosea wakienda hosipitalini kupata ushauri namna ya kujikinga na mimba wakiwa bado shuleni. Mbaya zaidi binti anatoka huku akijiproud kuwa kapata mwarubaini wa kumaliza masomo bila kupata...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    Habarini. Nimefika jumamosi kutoka Sweden, Canada, Spain, UK, USA, Egypt na Botswana. Safari hii sikuzunguka sana. Leo Jumatatu huwa mara nyingi natumia JEEP so nimetoka zangu home kwenda Ofisini asubuhi hii ikatokea ajali ndogo tu. Toyota Vits imegonga Gari VW kiasi tu imechubuka. Nakumbuka...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

    Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ . 1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake 2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana 3.jina la mtoto wake...
  16. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ifanye haya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana

    Kiukweli serikali ya awamu ya tano chini ya JPM imefanya mambo makubwa sana katika nyanja ya kuboresha miundombinu na huduma za afya kitu ambacho kila mwananchi anatambua hilo bila ubishi. Ila bado vijana wanaonekana kama kundi lililosahaulika ,japo ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inasema...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana Mnaotafuta Ajira jifunzeni kuwadanganya walinzi!!

    Habari za muda huu wana jamii? Matumaini yangu wote mpo salama,wale msio salama basi Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi kigumu mnachopitia. Niingie kwenye mada moja kwa moja.Leo wakati nipo ofisini mida ya saa 8 hivi,nilitembelewa na mgeni hivyo nikashuka chini kuonana nae, sasa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vijana ndiyo wanasambaza Covid-19

    Vijana ndiyo wanaeneza corona na wazee wenye damu group A, wenye pumu, wenye magojwa ya kisukari ndiyo wengi wanakufa. Sasa sijui uzalendo ni upi kama sio kulinda wenzetu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

    Skills au ujuzi upi ni muhimu kuwa nao kijana wa kitanzania mwenye umri kuanzia 18 na kuendelea labda mwisho35 (awe ana soma au yupo mtaani.)vyovyote vile ilimradi kijana. Nia na madhumuni ya uzi huu ni kwamba kujulishana skills mbali mbali za kusomea au kujifunza ili kuendelea kupigania maisha...
  20. JamiiForums Tanzania Hili la Ukosefu wa Ajira tatizo lilianzia hapa kwenye D2, wazazi tuwaambie vijana ukweli, vyuo vya ovyo ovyo elimu ovyo!

    Ndugu wazazi wenzangu wasalamu, Kuna jambo nataka niwaeleze, na hii ni pamoja na vijana wenzangu, wanaopata maisha ya tabu kwenda kusoma miaka zaid ya 18 kutegemea ndoto ambazo hazitimii. Nitaeleza kidogo: Hapo zamani kidogo, chini ya miaka ya 2000s ilikuwa ni lazima mtoto afaulu Darasa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…