vijana

  1. Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

    Just imagine upo katika kipindi cha majonzi una tafakari hili na lile baada ya kukosekana kwenye ajira! unaulizwa maswali kama haya na wazazi, ndugu na majirani; Nasikia ajira zenu zimetoka. Vipi sasa umefanikisha? Unajibu sijafanikisha. Anaendelea kuuliza, kwanini sasa au hukutuma maombi...
  2. Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

    Habari wanajukwaa! Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu. Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba) Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi...
  3. K

    Ukistaajabu "magumashi" wabunge viti maalum CHADEMA utayaona ya wanafunzi waliofutiwa mitihani darasa la 7...

    Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
  4. Je, ni Mambo gani yalikuwa ya kawaida sana miaka ya 1980s - 1990s ambayo Vijana wa sasa hawawezi kuyajua?

    Nakumbuka enzi hizo ilikuwa kawaida kabisa kusibiria kipindi cha muziki mida ya usiku huku ukiwa na kaseti yako, unasuburia wimbo unaoupenda ukifika unaurekodi, Tulikuwa tunasubiria usiku kwa sababu mchana Dj alikiwa anaongea akijisikia wakati mziki unacheza na wimbo anaweza kuukata mapema...
  5. Vijana kutoka kimaisha kwenye Utawala wa Awamu ya 5 ni ndoto za mchana

    Hua nasema kila siku, CCM hata wakipewa miaka 700 hakuna kitu watatufanyia watanzania zaidi ya kutufukarisha. Miaka na miaka CCM inazalisha mafukara wa kutupwa wanaoitwa wanyonge ambao mbaya zaidi ccm inawatumia tena kama stepping stone kwenye uchaguzi. Kijana wa Kitanzania kutegemea utatoka...
  6. J

    Muhindi: Vijana hasa UVCCM chapeni kazi, kwa sasa hakuna teuzi zozote Serikalini

    Nawakumbusha vijana hasa wale wa UVCCM waliogombea ubunge na udiwani na kufeli waendelee kuwa wabunifu na wasisubiri teuzi za Serikali. Rais Magufuli alishasema hatafanya teuzi mpya kwa sasa isipokuwa kwa Baraza la mawaziri pekee. Zaidi ya wanaCCM 10,000 waliomba nafasi za ubunge katika...
  7. Kwa Vijana: Mahusiano mengine ni ya ajabu sana

    Fuatilia mahusiano kwenye mjadala huu usikie maajabu
  8. Jengeni viwanda muajiri vijana sio shule wakasome watoto

    Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali. Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo. Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo. Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
  9. Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

    Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake) Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama...
  10. Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  11. Jaggi Vasudev (Sadhguru): Maisha yake, mafunzo yake na changamoto ya walimwengu hasa wasomi wetu, sisi vijana na wanasiasa

    Jaggi Vasudev (Sadhguru) ni mwalimu wa yoga, mtunzi wa vitabu na public speaker huko nchini India. Mtu huyu mwenye busara na kipawa kikubwa cha utulivu alichopewa na Mungu Mwenyezi anatufundisha mengi walimwengu. Amekuwa akialikwa kwenda kutoa midahalo sehemu mbalimbali ulimwenguni. Kwa...
  12. Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  13. Vijana wadogo wabatizwa kabla kupelekwa vitani Nagono Karabakh

    Mgogoro wa Nagono Karabakh baina ya Armenia na Azerbajan safari hii umesababisha vita vikali vinavyopelekea Armenia kuelemewa na kuishiwa na nguvu mpaka kupelekea kuwachukua vijana wadogo kuwapeleka mstari wa mbele. Vijana hao wanaojaa hofu kutokana na kutokuwa na uzoefu wa vita huchukuliwa...
  14. Tutafuteni hela vijana

    Wanajamiiforums tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu. Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?" Hata wewe binti yangu tafuta pesa hata siku unapewa appointment...
  15. Kwanini vijana tusijitolee kulingana na Ujuzi tulio nao?

    Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea? Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali. Lakini ni ngumu kwao waliopewa dhamana hiyo, kuwa tayari kuwakusanya hata baadhi tu ya wale wanaowazunguka...
  16. Vijana tujikumbushe njia sita halali za kujipatia kipato

    Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi. 1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet) 2. Kuajiriwa. 3. Kurithi. 4. Mikopo. 5. Kupewa. Ya Mwisho ambayo ni halali lakini siyo rasmi, ni KUOKOTA.
  17. Kwako Mzee wangu Magufuli: Vijana kama Ole Sabaya watakuponza usipochukua hatua za haraka

    Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko. Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi kubwa kama hii ya Tanzania. Huwa napingana na wewe kwenye mambo mengi sana na nakurushia vijembe...
  18. GE2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

    Wanabodi, Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa...
  19. Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  20. Vijana wengi wanafuata mkumbo na kuchukulia kuwa Mpinzani ni fasheni na kwenda na wakati

    Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…