Nimekua nikisoma thread tofauti humu JF za wanaume wakilalamika kuhusu kutendwa na wanawake zao kisa hawana pesa kisa hawana uwezo wakuwahudumia hao wenza wao, nk
Nimeona wengi kwenye comment wakishauri watu watafute pesa sana na kwa bidiii ili kuepuka hayo yote, kila ushauri mzuri ni vyema...
Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo.
Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali.
Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio.
Wengi wenu bado...
Ukweli ni kwamba mambo mengi yanayofundishwa shule ya msingi ndio hayo hayo yanafunzwa shule ya sekondari. Ushauri wangu ifanyike review ya mitaala ya elimu yetu na masomo yanayowezesha elimu ya kujitegemea yaongezwe.
Tupunguze mfumo wa elimu ya white colar na badala yake tuweke mfumo wa elimu...
Ilizoeleka tukiwajibu wapinzani ndo tunaonekana zaidi, pia wakati wa uchaguzi tumefanya kampeni kuwapigania wagombea wetu wapite kwa kishindo.Walipita kwa kishindo.
Lakini sasa hali imekuwa ngumu hakuna wa kumjibu wapinzani wamejifanya kukaaa kimya kama Nchi siyo Ya kwao. Hata ile buku...
Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe.
Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika kwamba Rais ni mkali sana jambo ambalo nimeshangazwa nalo.
Kwa maoni yangu, rais anapaswa kuwa mkali...
JKT YASITISHA MAFUNZO
DODOMA: JANUARI 19, 2021
JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena.
Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
Habari wana jamvi.
Leo napenda tuzungumzie changamoto zinazotukabili sisi vijana kuna changamoto nyingi sana. Baadhi ya changamoto ni ukosefu wa ajira, Ukosefu wa mitaji, pia kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani yaliyopatikana na kuyaweka katika uhalisia wa maisha.
1. Changamoto ya...
Mzazi akikupa hadithi za ujana wao mwambie sawa nimekuelewa,, ila usinifundishe namna ya kuishi na Mzazi mwenzio.
Kuna wazazi hata kama alimfumaga baba na mchepuko siku ukipata kazi itakuwa silaha yake ya kuombea hela "nimeuza mkaa ili usome baba yako alikuwa bize na Malaya wake leo umepata...
Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa.
Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco.
Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
Habari Tanzania!
Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima.
WAZO LA AJIRA
Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana.
Dk Mwinyi aliyasema hayo katika kilele cha matembezi ya...
Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma.
Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu.
Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza...
Habari Tanzania!
Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani.
Vijana na wazee wachache wanaojitambua napenda kuwasihi mambo bado; umsiogope; mwisho wao waliowatesi wenu ndio mwanzo wa furaha kuu yenu na...
Heri ya mwaka wa 2021
Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi.
Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele.
Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache.
Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU
Na, Robert Heriel
Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.