Muhabeshi
Member
- Jul 3, 2021
- 15
- 73
Tatizo hapa ni vijana wengi kuzama kwenye kilevi cha ngono zembe, na hasara zake ni kubwa
1. Akili kudumaa
2. Maradhi
3. Upotevu wa malezi sahihi kwa watoto
4. Kulega kwa ndoa
5. Kudorora kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, familia mpaka taifa.
Hayo ni baadhi yake, swali ni je tunaweza vipi kujikwamua kwenye kilevi hiki?