Tusidanganyane vijana wenzangu, kukithiri kwa zinaa huleta umasikini

Zama za sasa kumekuwa na WATOTO wengi wa nje ya NDOA, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.

Kama unapinga pinga kwa hoja.
Zinaa imeteka akili za ubunifu kabisa! Watanzania ni wajanja katika kutengeneza mazingira ya kula tunda kimasihara kuliko kujikwamua kwenye lindi la umasikini na ujinga!
 
Mchizi wangu juzi kalipwa 250k job kama posho ya kazi flani ya nje
Kaagiza demu mpya.
Nauli 10k ya demu kukutana na mchizi.
Vinywaji na chakula 40k
Rum 20k
Mafuta ya Kigari chake kwa ajili ya misele ya siku hio 30k
Posho kwa demu 50k

Kesho yake naonana nae analalamika ile hela imekata :D :D :D
 
"Wakikua watanitafuta wenyewe"

walimwengu : Kimya

Wakishakua wasimtafute na akapata sababu ya kuwatafuta na akakataliwa

Walimwengu : watoto washalishwa sumu na mama zao, hatafanikiwa zaidi kwa laana ya baba yake yule na anaanzaje kumkataa baba yake aliemzaa
 
Maisha ni kuishi,
Kula raha tu maisha yenyewe sio kitu serious kiivyo.
 
Thailand Pattaya Kuna ngono sio poa, tena commercial ngono ya kila aina kwanzia straight mpaka ma ladyboy lakini hakuna umaskini kama bongo.

Usitupangie
Umesema commercial ni biashara,na wanafanya biashara hio kwaajili ya umaskini kama zilivyo nchi nyingenezo maskini .

Thailand ni nchi yenye utalii vilevile kwahio wazungu wengi huenda huko kununua malaya(kuridhisha) ham zao za ngono na vilevile kuwa in vaccay na hukohuko asilimia kubwa wanabeba ukimwi na kuurudisha makwao,thailand ni maskini ila wao ni wachapakazi mno hata wazungu wakitaka wake submissive wanawafata Thailand....ila ukimwi unaongezeko kubwa huko kwaajili ya sextrade!

Watanzania wanajibweteka na kuweka ngono mbele inarudisha nyuma maendeleo hata walooa malaya wakutupwa kila mtu na danga lake,akili zimedumaa kufikiria ngono...mtu siku nzima anakaa anawaza kumvua chupi mtu baadala ya maarifa ya kuongeza kipato!!
 
Back
Top Bottom