Wahahitajika vijana kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, na mabegi

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,399
40,295
Wahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:-
  • Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na utapewa malengo ya mauzo; kama utauza zaidi, kile kinachozidi ndio malipo yako; mfano suruali ya 5,000 ukauza 10,000, ile 5,000 iliyozidi ni ya kwako. Cha muhimu utimize malengo.
  • Kazi hii inawafaa hasa wale wapambanaji wa kweli wa maisha wasiokuwa na aibu
  • Kama malazi yatahitajika, ofisi inaweza kuwafikiria kwenye majengo yake.
 
Hii mkuu kama zile z mshahara laki 3 na nusu.. Mapoti yasiyopoza ya jambo
 
Kwa hii ni rahisi kutajirika,kwa sababu namna unavyoongeza mauzo na wewe unazidi kunufaika zaidi; ni sawa na kukupa vitu kwa mkopo huku huna mtaji, kwa sababu hakuna mshahara bali unapewa mzigo na kupangiwa bei elekezi,ukiweza kuuza kwa bei ya juu zaidi ndio faida yako.
 
Eti rahisi kutajirika
 
Wahahitajika vijana watano kwa ajili ya kutembeza nguo, viatu, mabegi ya mitumba maeneo mbalimbali mkoani Arusha. Aina ya kazi iko hivi:-
  • Asubuhi utakabiziwa mzigo kutokana na uwezo wako, na utapewa malengo ya mauzo; kama utauza zaidi, kile kinachozidi ndio malipo yako; mfano suruali ya 5,000 ukauza 10,000, ile 5,000 iliyozidi ni ya kwako. Cha muhimu utimize malengo.
  • Kazi hii inawafaa hasa wale wapambanaji wa kweli wa maisha wasiokuwa na aibu
  • Kama malazi yatahitajika, ofisi inaweza kuwafikiria kwenye majengo yake.
Sajili jina la biashara BRELA , lipa kodi weka Duka wacheni u-holela wa kila mahala kuuza mtaani, hivi mpaka tumuombe mkoloni arudi ndio mtastaarabika?
 
Mwendazake alikuza hili balaa..now wamachinga kila mahali hata wenye uwezo wa kufungua duka wanataka kua wamachinga.

Haya vijana fursa hiyo.
 
Back
Top Bottom