Mahari ndio chanzo watu kashindwa kuoana

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
kiukweli ili jamo kwa utanda wazi linaleta mambo magumu.

mahali za kimila na pande mbili kutaka kujuana ndio chimbuko la matatizo.

unakuta wazazi ni watanzania na mtoto ni china. ila kwa akili zetu zilivo jinga wazazi wanataka kwenda china kutoa mahali.

vijana wengi kizazi hiki tuanze nchi yetu na kwengine.

ndugu na jamaa ndio wanafanya kushindwa kufika uliyekutana naye ,kuoa.

hii tabia ya kuoa ulipo toka ndio dunia kasoro
 
Pitia uzi wako, tangu kichwa cha uzi, fanya marekebisho.
 
kiukweli ili jamo kwa utanda wazi linaleta mambo magumu.

mahali za kimila na pande mbili kutaka kujuana ndio chimbuko la matatizo.

unakuta wazazi ni watanzania na mtoto ni china. ila kwa akili zetu zilivo jinga wazazi wanataka kwenda china kutoa mahali.

vijana wengi kizazi hiki tuanze nchi yetu na kwengine.

ndugu na jamaa ndio wanafanya kushindwa kufika uliyekutana naye ,kuoa.

hii tabia ya kuoa ulipo toka ndio dunia kasoro
sijaelewa
 
Kweli wewe ni chizcom kwahiyo Hilo ni swali au hoja mchanganyiko, Kaa Kwa kutulia andika vizuri au umebanwa makende na wakwe zako utoe mahari ya million 3 Kwa Mwajuma Ndala mbofu?
😁😁😁😁
 
Tangu lini mahali ikazuia watu ku0ana...!!!? Mapenzi mara z0te huwa ni ya wapendana0 wawili, wakisha shibana kihisia na kuridhiana ndip0 wawili ha0 huamua mwenyewe kujipangia utaratibu wa jinsi watakavy0 0ana pasip0 kushurutishwa na mtu yey0te yule. Hivy0 basi kama mahali ni kikwaz0 kwa wapenzi ku0ana, jiulize nchi hii ina wanando0a wangapi wana0 ishi na wat0t0 wa watu bila kuwalipia mahali na wamezaa wat0t0 wengi tu kwa mk0p0? Mwish0: MAHALI si0 kikwaz0 cha watu ku0ana na uki0na unaambiwa huwezi ku0a bila mahali nitafute kuna mik0a mabinti wameshindikana unapewa bure mtu na md0g0 wake!
 
hahahaaa mkuu nipe connection ya huo mkoa nikajidakie bibi zangu Bure maana wabongo Kwa vitonga hatujambo!
😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom