vijana

  1. JamiiForums Tanzania Mionekano ya vijana wa kiume huko tiktok mbona ina utata sana

    Huu mtandao Nimeujua muda mrefu ila nilikuwa sijawahi kabisa kuingia kuna clip nyingi nilikuwa naona zinasambazwa kwenye mitandao mingine kiukweli kama mtu siku hiyo upo bored ukikutana na clip za tiktok zitakufanya ufurahi Sasa leo ndio nimepakua hiyo app nimeingia kwenye huo mtandao nimeona...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

    Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isipowadhibiti vijana wake, itakuja kujuta

    CHADEMA inafanya siasa zake mtandaoni kwa kiasi kikubwa, kutokana na mazingira ya siasa nchini yalivyo tangu enzi za mwendazake Sasa kuna vijana wa Chadema wamekuwa popular sana huko mtandaoni kuliko hata viongozi wao wa kitaifa, na waki push ajenda fulani inaonekana kama ni Chadema sababu...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa kiislamu walika mkong'oto baada ya kuandamana huko India

    Juzi hapa waislamu nchini india waliandamana baada ya kiongozi wa ngazi za juu wa Chama cha Kihindu kutoa matamshi ya kuukashfu uislamu. Baada ya matamshi ya dhihaka dhidi ya uislamu na mtume Mohamed, nchi nyingi za kiislamu zililaani sana hilo tukio na baadhi ya vijana wa kiislamu huko India...
  5. JamiiForums Tanzania Nape aagiza waliozusha umeme kupanda bei hatua zichukuliwe

    Baada ya taarifa kusambaa kuwa bei ya umeme imepanda, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza wote waliozusha kuhutu taarifa hizo hatua zichukuliwe. "Uenezaji wa taarifa za uongo kiasi hiki ni uchochezi wenye lengo la kujenga chuki dhidi ya TANESCO na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wahisani Wachina watoa matumaini kwa vijana wanafunzi kwenye makazi ya mabanda nchini Kenya

    Wahisani wachina wanaendelea kuwapa matumaini wanafunzi vijana wanaosoma kwenye shule ya Mcedo Beijing iliyopo kwenye eneo la makazi ya mabandaduni la Mathare mjini Nairobi. Watoto hao wanaotoka kwenye mazingira magumu wamejiunga na shule hiyo kutokana na hisani ya wachina na sasa wanaweza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  9. JamiiForums Tanzania Vijana pambana uwezavo ukitoka kwenye starehe utumie pesa yako

    Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

    Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara. Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya...
  11. JamiiForums Tanzania Miradi ya kimkakati Tanzania yawa chachu kwa vijana kuchangamkia kozi zote zinazohusu Reli, Meli na Anga zinazotolewa NIT

    Dhamira njema iliyooneshwa na serikali katika kukazania kujenga miradi ya kimkakati imetoa hamasa kwa Watanzania wengi kuchangamkia fursa ya kusoma kozi za huduma za usafiri wa reli, meli, bandari na anga katika chuo cha usafirishaji tanzania (NIT) Kwa Mujibu wa Mkuu wa Chuo amesema awali...
  12. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Mbwa wa kisasa ni almasi mpya kwa vijana

    Miaka ya karibuni vijana wengi wamejiingiza katika biashara ya ufugaji wa Mbwa wa kisasa kwa kuimport mbwa nje kama Germany shepherds long coat, Boerbull, Caucasian shepherd, Rottweiler's na wengine na wakifika hapa huwazalisha na kuuza watoto (puppies) huku wateja wao wakubwa wakiwa ni matajiri...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja: Kwanini vijana wa Kiume ndio mstari wa mbele kwenye masuala ya kubeti?

    Thread was deleted
  14. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Madaba wampongeza Rais Samia kwa Tsh bilioni 1.5, Mbunge Mhagama awaonesha vijana njia

    Wananchi wa Jimbo la Madaba wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Joseph Mhagama wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupata tuzo ya mafanikio ya ujenzi wa miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa Juni 4,2022 wakati wa tamasha la kutambua vipaji kupitia sanaa na michezo jimboni humo...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa za Ajira na Kazi kwa Vijana ni Muhimu kwa Maendeleo ya Dunia

    Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake. Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Sasa ajira ni za kumwaga vijana wanafanya kazi tofauti na miaka mitano iliyopita

    Nakumbuka miaka mitano iliyopita ilikuwa ya matusi kwa vijana eti wajiajiri kinara wa kutamka hivyo akiwa ni rais na Ndugai. Sasa mama kaona Kulikuwa na tatizo mahara na Sasa both prive sector and public sector ziko active kutoa ajira. Kila aliyesoma angalau ana cha kufanya hata kama hakikidhi...
  20. JamiiForums Tanzania Vijana na wazee tusikose kula

    Katika Maisha yangu mimi kula vizuri kulala katika Godoro la Futi 10, Mboga za majani Nyama, juice Safi hayo ndo Maisha yangu napenda. So siwezi kuishi kwa kuwatengenezea Maisha watu watakaozaliwa miaka 10 ijayo huu ni uongo kiukweli so i can't Naamini mtakaozaliwa na nyie mtakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…