Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 629
- 1,014
"Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,.
Ninapoomba huu uwekezaji nina mkakati nao wa kunifikisha kwenye malengo yangu. Kwa haraka ninavyotaka na kwakuwa namtumikia Mungu hakuna madhara yoyote kwa mwekezaji , mwekezaji atapata kile anachostahili na mimi nitapata kile kinachostahili na mrejesho nitawaletea hapa.
Tanzania tatizo kubwa ni uaminifu kama ambavyo jamaa hapo kasema ni utapeli. Mungu atusaidie maana hii dhana inatuchelewesha sana kufikia kwenye malengo yetu.
Tanzania kuna watu wanamitaji ila hawana pa kuwekeza au hawana mawazo ya biashara na wala hana uzoefu wowote wa biashara wala akili ya biashara,
Alafu kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara tuna mawazo ya biashara tuna mtazamo wa kibiashara na tuna uzoefu kwenye biashara ila tatizo mtaji , sasa wale ambao niwaaminifu kabisa tunapotaka kujilink na wenye mtaji dhana ya utapeli inatuangusha
Kama wenye mtaji na wenye akili na mawazo ya kibiashara au upande wa kilimo wangeaminiana Tanzania hii tungeusahau umaskini na ukosefu wa ajira