vijana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili wa Sales wanahitajika

    Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

    Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama. VIDEO: Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo mpaka wanakuwa watu wazima. Siasa kwetu sio taaluma bali ni ajira ambayo walafi wa madaraka ( power...
  4. KJ07

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

    Kwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja. Je? Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa. Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  6. Daudi1

    JamiiForums Tanzania Sikujua vikundi vya 'jogging' watu wanatumia kutongozea wanawake!

    Kumbe Jogging club zinazoanzishwa wa wingi hasa maeneo ya mjini zimekuwa platform ya kutongoza wanawakeee aiseee!!!. Nimepita mahali nikakuta Kuna vijana wanamshawishi kijana mwenzao ajiunge Kwenye jogging club yao waliyoianzisha, Sasa Huyo mwenzao akauliza "wanawake wapo???" Wakamjibu Wewe...
  7. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Vijana waliohitimu Kidato cha Sita ni muda sahihi kukaribishwa mtaani

    Habari wanajukwaa. Naona tumeomgezeka kundi lingine la watu wazima mtaani wameingia. Wakaribishwe ni wageni huku Mana walizoea shuleni kubanwa na nyumbani. Wakishaingia chuoni waweza mpangia nyumba nzima ukalala naye mpaka asubuhi Mana before alikuwa anaonja bata anaogopa kuwa atachelewa...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na maisha ya mashaka South Africa

    Maisha wanayoishi huko ni mabaya kweli kweli.
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Vijana ambao Miaka yote Sikuwahi Wanaona kama Wapo Smart Upstairs

    Na huu ni mtizamo Wadau msijenge chuki pale ambapo nitakuwa nimewagusa watu wenu wa moyoni. 1. Mwigulu Nchemba 2. January Makamba 3. Nape Nnauye 4. Godbless Lema 5. Kigwangalla 6. Paul Makonda 7. Na wengineo. Hawa jamaa kunakowabeba sana ni mifumo yetu mibovu na uwepo wa wajinga wengi kuliko...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Shuhudia vijana wa Mbatia wakitembeza kichapo

    Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama mwalimu wa Rais Samia anapata uteuzi 2022, Vijana twafwa!

    Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na kuudhi kuona vijana tunakosa ajira halafu wastaafu wakiteuliwa kushika nyadhifa kila uchwao. Sitaki...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  13. nyboma

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Marekani wamekata tamaa na siasa

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  19. Masanja

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
  20. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Vijana wetu na uchawa

    Habari wakuu. Nipo hapa kuleta hoja ya vijana kuzama kwenye uchawa. Yaani mimi nashindwa kuelezea tena inapigwa debe kweli kweli kana kwamba ni jambo zuri. Unakuwa chawa wa mtu je akifa! Yaani utakuwaje vijana kataeni mfumo huu mbaya wenye kuharibu sifa zenu pamoja na utu wenu. Ni aibu kuwa...
Back
Top Bottom