Wanawake na Vijana wenye Ulemavu hatarini zaidi kufanyiwa Ukatili

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Data ya Kimataifa zinaonesha Wanawake na Vijana wenye Ulemavu wako katika hatari kubwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia, Vitisho, Kutendewa vibaya, au kutelekezwa

Nchini Tanzania, Watu wenye Ulemavu wa Ngozi (Albino), wako katika hatari kubwa ya kufanyiwa Ukatili kutokana na Mila na Desturi zenye madhara zinazoizunguka Miili.

======================================

There is no disaggregation of data to showcase how persons with disabilities - especially women and young people, contribute to the national gender-based violence (GBV), child marriage and female genital mutilation (FGM) statistics.

However, global data suggests that women and young people with disabilities (WGD and YPWD) are at a high risk of sexual violence, threat, mistreatment, or abandonment.

Young persons with disabilities become sexually active and experience their sexuality as early and as often as young people without disabilities, and like many young persons, often without consent, and viewed as a taboo subject and something that should be prevented, discouraged, suppressed or forbidden. This is closely linked to early, forced and child marriage, which often leads to domestic violence and early or unintended pregnancy.

In addition, in Tanzania, people with albinism (PWA), a population group with unique characteristics and identity, yet often categorized as PWD, are particularly vulnerable to violence due to harmful practices and beliefs surrounding their bodies which adds risks that are unique to them within this category.

This calls for focused and dedicated efforts to debunk myths, and address stigma and harmful cultural beliefs around WGD, YPWD and PWA and ensure better access to health and social services, education and freedom from the constant fear of being subjected to violence.
 
Habari kama hizi kwenye utawala wa shujaa wetu zilikuwa adimu sana. Kumbe nazo ni mradi mzuri wa kula pesa za beberu. Rest in peace, JPM, receive all vulnerable prayers, and do something, spiritually.
 
Duu? Una roho ngumu! Kwa hiari yako mwenyewe unathubutu kumwombea mtu aliyetenda maovu kuliko shetani!
 
Aisee
 
Duu? Una roho ngumu! Kwa hiari yako mwenyewe unathubutu kumwombea mtu aliyetenda maovu kuliko shetani!
Hukumu ya haki ipo kwa YHWH pekee, maana hapa duniani ni bla bla, non stop. Mla paka na mchinja paka, wote ni maziganya!
 
Back
Top Bottom