vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Polisi wamfanyia vibaya muandamanaji wa Hamas kama walivyomfanyia George Floyds

    Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek. Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa. Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa...
  2. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba za simu?

    Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a gentleman, smiling all the time akikuona. Ana anza conversation with you. Nimevunga kama vile am not...
  3. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kufanya interview vibaya lakini bado ukaitwa kazini

    Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini. Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo unavizia kuiba mke au mume wa mtu, ndivyo nawe unavyonyemelewa kunyakwa na huenda ukaumizwa vibaya

    kiujumla wizi wa aina yoyote ile ni mbaya sana. na siku zote wizi hauna mipaka, mwizi huiba kila kitu anachokiona kinamfaa mbele yake kwa muda mfupi na haraka sana, haina kuremba. kuiba mke au mume wa wenyewe, ni wizi mgumu, mbaya na hatari sana kwa afya na uhai wako. Pasaka hii tulizana, baki...
  5. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania CCTV zina faida gani ? Tukio linapotokea kuonesha vibaya

    Msaada wa CCTV mimi naona ni bure yani linapotokea tatizo uwezi kuona picha vizuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni vibaya kuona aibu kuzidiwa na Kenya, Zambia na Malawi kwenye demokrasia

    Kulikuwa na mkutano wa African diaspora hapa Texas. Sio uongo niliona aibu sana wenzetu wa Zambia, Kenya, na Malawi wakiongelea siasa na demokrasia. Sisi masikini hata katiba nzuri yenye kutoa haki sawa tunaleta siasa. Nilijiuliza sana bila kupata jibu zuri. Kama kweli viongozi wetu wanapenda...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

    Huyu demu ni mzuri na anaonekana very decent kwa nje. Msukuma wa Shinyanga. Mimi kiukweli niitegemea ngekaa kwake kwa utulivu but baadaye nikaja ona ana ujanja wa kishamba. Mimi nlikutana naye JF miaka kadhaa ya nyuma. Tukawa friends, tukapeana namba za simu. One time akaniambia nimfuate Nzega...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Kondomu zilizotumika zakithiri stendi ya Same, polisi waamrishwa kufanya doria usiku kuwakamata wanaotumia stendi vibaya

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo kuanza doria nyakati za usiku katika stendi ya mabasi Same mjini, ili kuwabaini na kuwakamata wanaotumia stendi hiyo kufanya mambo yasiyo na maadili. Amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilitumia eneo hilo la...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

    Naomba nisimuwekee maneno Makamba. Maneno aliyoyazungumza ni tuhuma nzito kwa utawala wa Rais Magufuli.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga. Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote. yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari aliyekamatwa akituhumiwa kuiandika vibaya UDOM aachiwa kwa dhamana

    Mwanahabari Kazimbaya Makwega ambaye alikamatwa na Askari Polisi akiwa Chuo cha Mallya, Kwimba (Mwanza), Februari 22, 2024 kisha kusafirishwa hadi Dodoma kwa tuhuma za kuandika maneno ya uchechezo dhidi ya Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM) kupitia tovuti yake ya ‘Mwanakwetu’, ameachiwa kwa dhamana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, umefika wakati Wapalestina kutambua Muslim Brotherhood wanatumia vibaya ili kutimiza agenda yao ya kisiasa?

    Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas. Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Crime Movies. Ebu tazama hizi psychological crime movies. Zinafikirisha vibaya mno

    1: Seven Bradd Pitt and Freeman kama polisi wanajaribu kusolve mauaji yanayoendelea na kutekelezwa na muuaji ambayo yuko inspired na dhambi saba za mauti. 2: American Psycho Jamaa anaonekana mtu poa sana na mwenye mafanikio ila moyoni anajaribu kuficha roho yake mbaya ya ubinafsi then baadae...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda bado ni kijana mdogo na asitumike vibaya kama Sabaya

    Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi. Hulka hizi hutumika sana na wakubwa kuwatafuta watu wa kushirikiana nao katika jambo fulani kwa manufaa yao. Wanajua vyema mtu kama Makonda...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji. Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali. Makonda: Mwaka huu mtaota nywele 😆😆. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ila kama vile Kinana anazeeka vibaya hivi!

    Nilishangaa sana kumsikia anawasema wapinzani. Kwa nafasi alizoshika siku zote niliona akiwakosoa na kuwaelekeza wa chama chake. Jana kumsikia anawaongelea CHADEMA kwa kweli nimeshangaa sana sana!
  19. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na Uelewa na Ufahamu mpana na wa kutosha wa masuala mbalimbali, ukinyimwa, kukataliwa au kusubirishwa ulichoomba hutojiskia vibaya

    Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
Back
Top Bottom