Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.

Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote.

yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern Munich back in the days.

Huu ndo ukweli. Acha kukaza kichwa.
 
shabiki wa mpira
Kwanini shabiki wewe wa mpira una hangaika sana na Yanga kuliko timu zingine? Simba kafungwa juzi hukuleta uzi wowote wa kutoa maoni. Ila nyuzi zako zimejaa negativity kuhusu Yanga. Mara Gamondi sio kocha, Mara Gamondi ana hongwa na Guede ili apangwe, mara Guede ni garasa mara Yanga ni mbovu. Yaani unaona timu imepata ushindi tena away halafu dhidi ya Namungo na kuna key players zaidi ya watano hswapo lakini Yanga imeondoka na ushindi mnono. Yanga inakushughulisha haswa, pole sana
 
Sure boy hamna kitu kabisa yaani.Siku Aucho hayupo timu inacheza papatu papatu pale kati kunakosa utulivu.

Viongozi yanga fanyieni kazi mapungufu haya.

Ikiwezekana Sure boy tumuache aende amekwisha na msaada wake hauhitajiki tena pale jangwani.
SURE BOY. hayupo calm kama Aucho. wenge nyingi sana. Aucho replacement kazi ipo. bora Mkude. he can do the work. effeciency is where we draw the line
 
Kwanini shabiki wewe wa mpira una hangaika sana na Yanga kuliko timu zingine? Simba kafungwa juzi hukuleta uzi wowote wa kutoa maoni. Ila nyuzi zako zimejaa negativity kuhusu Yanga. Mara Gamondi sio kocha, Mara Gamondi ana hongwa na Guede ili apangwe, mara Guede ni garasa mara Yanga ni mbovu. Yaani unsona timu imepata ushindi tena away halafu dhidi ya Namungo na kuna key players zaidi ya watano hswapo lakini Yanga imeondoka na ushindi mnono. Yanga inakushughulisha haswa, pole sana
SIMBA BALL ni ile ile . no changes ( haram ball) so i have less to comment on a broken team. yanga in other side. created the atmosphere of good football that I can watch. when I dont see that quality, I question it.
 
Wewe sio shabiki wa mpira, ni shabiki maandazi. Kama huwezi kujua kuwa kuna wakati timu inacheza ili tu kupata matokeo. Wewe shabiki mabumunda
leo yanga was disjointed sana. ni kama mid - field was empty and alot of collision. YAO YAO DID SO MUCH
 
Sure boy hamna kitu kabisa yaani.Siku Aucho hayupo timu inacheza papatu papatu pale kati kunakosa utulivu.

Viongozi yanga fanyieni kazi mapungufu haya.

Ikiwezekana Sure boy tumuache aende amekwisha na msaada wake hauhitajiki tena pale jangwani.
Viongozi hawawezi kusikiliza huo ugoro wako.
Kwanza mkude si uliona alipoingia anaruka ruka tu?

Bora mauya au huyo mkude waachwe sio sure boy unadhani asingekuwepo Leo pale chini ingekuwaje ?

Mechi na ihefu walicheza kina zawadi uliona upuuzi wao?

Sometimes najiuliza huwa mnatazama soka wapi? Sure boy usitake acheze kama aucho ana ubora wake.
 
SURE BOY amna mtu pale. mid field Aiwezi kabisa. Ana kila kitu wrong with the mid field. poor positioning, poor passing, poor long balls, poor defensive, poor tackling. yani amna mtu. I love Mkude na ni bora kuliko farid ina alot of ways
 
Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga.

Farid, Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote.

yanga can do better. wanajua ball ni swala la moral kama imeshuka vile over achievement kama Bayern Munich back in the days.

Huu ndo ukweli. Acha kukaza kichwa.
umevuta bangi? unamtaja farid ambae hakucheza!!!
 
Back
Top Bottom