Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

Manala An Academician

Senior Member
Oct 10, 2016
118
54
Utangulizi

Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k

Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya:

Sifa

1. Uwezo wa kutumia computer, hasa program zinazohusiana na kuandaa matangazo

2. Ubunifu ni sifa za ziada na utazingatiwa katika kazi hii

3. Mwenye uzoefu wa kufanya business branding na kufanya masoko atapewa kipaumbele

4. Mshahara utakuwa ni 300,000 kutegemea na uwezo wake wa kutimiza malengo kadri itakavyopangwa

Mwenye sifa hapo juu naomba atume CV yake kupitia WhatsApp namba 0765374146 na kupitia email manager@flydream.co.tz

NB: Mwisho ni tarehe 08/05/2022
 
Hamuhitaji mtu wa Embroidery? (Ku-operate mashine/mtambo wa Kudarizi kwa kutumia nyuzi yaani Embroidery Machine).
Au hiyo huduma hamna!
 
Hawa ni matapeli. Eti mshahara 300k KUTEGEMEANA NA UWEZO WA KUDELIVER??? Utafanya kazi mwisho wa siku wanasema haujadeliver hakuna mshahara, Unaondoka wanarudi tena JF kutafuta mwingine.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom