stevhinoz
JF-Expert Member
- Jun 15, 2021
- 216
- 480
Habari za majukumu ndugu zangu!
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.
Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika halikuwa tena na miradi mipya hivyo tukapewa barua za kusitishiwa mikataba.
Tangu hapo nimekuwa nikitafuta ajira lakini sikubahatika na ndani ya hii miaka miwili nimefanikiwa kuitwa interview kadhaa, lakini zote sikufanikiwa kuitwa kwenye ajira. Nimejaribu kufanya vitu mbalimbali ili kujiingizia kipato lakini pia sijapata matokeo mazuri, hivyo basi naomba anaeweza nisaidia kwa namna yoyote niweze kupata ajira.
Maana kiukweli nimetumia maarifa yangu yote kama binadamu lakini naona sasa nahitaji mtu au watu wa kunishika mkono.
Nipo tayari kufanya kazi ya namna yoyote ilimradi iwe tu ni halali.
Kwa sasa napatikana Dar es Salaam ila nipo tayari kufanya sehemu yoyote ndani na nje ya nchi.
Wasifu wangu usikuzuie kunipa nafasi (kuna sehemu kwenye interview niliambiwa nina-overqualify wakati mimi nilikuwa tayari kufanya zile kazi 😞😞)
Elimu yangu
BA with Education
Master of Public Administration
Certificates
Risk Management for Civil Societies, Microfinances and Public Entities
COVID 19 - Community Engagement
Prevention of Sexual Exploitation and Abuse
Security Awareness in the Field (BSAFE)
Uzoefu wangu
Work experience
School leadership & Practical teaching experience
Research Supervisor - health project
Capacity Development - NGO
Community Participation - USAID project
Volunteer experience
English to Swahili Language Translation (2 UNDP case studies)
Team Leader – Online Campaign (Facebook, Twitter & Instagram)
Ujuzi wangu

- Project Planning and Management
- Communication (Public speaking , creative writing, good listener)
- Research (data collection, designing data collection tools, data analysis & presentation)
- Capacity building
- Resource Mobilization
- Training & Coaching
- Monitoring, evaluation, and learning
- Community participation strategies
- Content and curriculum development
- Graphic design (Canva & Adobe Illustrator)
- Proposal Writing
- Developing case studies and stories of change
- Copywriting & Editing
- Campaigns development and follow-up
- Social media management
- English <> Swahili translation
- Microsoft Office (PowerPoint, Outlook, Excel and Word)
- Google Drive (Docs, Sheets, Slides, Forms)
- Spreadsheets (Excel, Google Sheets)
- Digital Communication (Email, Skype, Zoom, Google Hangouts, Microsoft Teams)