Habari zenu wa JF.
Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha.
Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa.
Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli.
Kamwe usiende kwa tajiri.
BELIEVE ME
Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine
Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k
Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia
Natamani kupata mtu wa...
Ni muhimu makazi yako yawepo Mwanza, uwe umewahi kufanya Kazi ya Sales Mwanza. Unaijua Mwanza vizuri.
Naomba nitumie CV yako kwenye Email hrfbde@gmail.com
Mapenzi sio mchezo.
Kuna mushangazi mmoja niliingia nao kwenye mahusiano, kwa nia ya kuuoa. Ndoa ilikuwa tufunge nao majira ya kabla ya mwezi 10 kuisha.
Navumilia mengi ana badirika kama kinyonga, Leo story kesho ugomvi mala anitishie kuni block , hataki kupokea simu, hajibu sms .
Nikikaa...
Mtu kama Liberata Mulamula ambaye amekuzidi kila kitu kuanzia Elimu ,umri , uzoefu na Exposure , halafu utegemee aje kukusifu kama Chawa haiwezekani .
Utalalamika Sana na nakuona upo katika Panic Mode .
MTU unajua kabisa ametumia zaidi ya nusu ya maisha yake kufanya siasa za kutumia akili na...
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima
Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist).
Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa
Tangu wakati huo nimekuwa...
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
Wadau nina mawazo haya ya biashara
1. Mini_Supermarket
2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe
3. Duka la rasta la jumla
4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta
Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
Habari wakuu,
Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri.
Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
Habarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.
Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.
Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi.
Nipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing.
Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.