Husika na kichwa Cha Uzi hapo juu, napenda kuomba na kukaribisha watu wenye uzoefu na interview za NAOT Kada ya Telecommunications Engineer (ukaguzi wa ki ufanisi-telecom engineer), wanipe mbili tatu hasa Kwenye usaili wa kwanza wa mchujo(njia ya mtandao), practical na oral
Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu.
Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi
CHAT GPT (Open AI)
GROK
DEEP SEEK
CO PILOT
GERMINI (GOOGLE)
n.k.
Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha.
Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima.
Kidnappers, ni hakuna hakuna kabisa. Warundi wanapenda wageni japo sijajitambulishi kama Mtanzania( nina ichukia...
Jamani wakubwa zangu shikamooni.
Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa.
Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
Wakuu.
Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar.
Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
Habari wanajukwaa,
Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina.
Huduma ninazotoa ni...
Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu.
Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu vinavyohitajika
Naishi Tanga Mjini
Habari wanajamii,
Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali.
Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
Habari zenu wa JF.
Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha.
Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa.
Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli.
Kamwe usiende kwa tajiri.
BELIEVE ME
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.