Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,065
- 14,702
Wakuu niliikuta sehemu jamaa akaijaribu niliipenda sana nawauliza ni Chaka gani hapa Tanzania naweza kuipata JBL BAR 1300MK2 chini ya sh. 4M kwa kweli Mziki wake unaotoka humo niliupenda sana
Full Specifications
Full Specifications