DC Ludewa Asisitiza Uzalishaji Mali Gereza la Ludewa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,897
941

DC LUDEWA ASISITIZA UZALISHAJI MALI GEREZA LA LUDEWA.

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa - Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa.

Akizungumza na viongozi mbalimbali amesema “Gereza hili lipo chini ya Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza (SHIMA) - likizalisha Wastani wa mavuno wa zaidi ya Tani 520 kwa mwaka- Gereza hili linatekeleza mradi wa Kilimo likiwa na lengo la kuzalisha chakula cha kutosheleza kuhudumia Gereza hili na magereza mengine chini ya mradi huu wa SHIMA kwa Mkoa wa Njombe, na kitaifa”

Katika hatua nyingine amepongeza mpango uliopo wa wafungwa kupatiwa ujuzi na stadi za kazi zitakazo wasaidia wanaporejea uraini na kusisitiza utaratibu huu uendelee.

Mwisho DC Ludewa amewashika mkono Magereza Ludewa kwa kuwapatia mahitaji muhimu mbalimbali.

WhatsApp Image 2023-11-12 at 16.43.02.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-12 at 16.43.04.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-12 at 16.43.07.jpeg
WhatsApp Image 2023-11-12 at 16.43.09.jpeg
 
Back
Top Bottom