Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika.
Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa kushindwa kufanyika.
Kamati ya Bunge Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ambayo jana ilitembelea kiwanda cha Mkulazi pamoja na Mtibwa Sugar na kuelezwa kuwa jambo hilo limechangia bei ya sukari kupanda.