uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Ubadhirifu wa 2020/21 ni mara mbili ya mwaka uliotangulia. Kulikuwa na ubadhirifu kwa jina la uzalendo

    Kuna watu walikuwa wanajifanya wazalendo mpaka kupiga wengine risasi. Lakini ni wazalendo gani wanampiga mtu risasi akiwakosoa, wanataifisha pesa za watu kwenye bank, waharibu biashara na uwekezaji wa watu, wanajipendelea na kutumia pesa ya umma kujenga kwao na kufikia mpaka kuweka mbuga...
  3. Area 56

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tutangulize Uzalendo mbele kwenye mchezo wa Simba Vs Orlando Pirates

    naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates. Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali. Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Marais wengine wa Afrika Wana aina hii ya 'Uzalendo' aliyonayo Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema?

    Rais wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema hajapokea Mshahara wake kutokana na hali Ngumu ya Kiuchumi kwa Miezi Nane iliyopita tokea aingie Madarakani. Chanzo: Radio One Taarifa ya Habari Asubuhi hii. Je, unadhani na Marais wengine unaowajua Weww hapa Barani Afrika wangekuwa na Uthubutu huu...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

    Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine. Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

    Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe kaanza vizuri kwa kuhubiri uzalendo

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe tangu ameachiwa huru mazungumzo na mahubiri yake yamekuwa ni kuwaunganisha watanzania kuwa kitu kimoja na kuipenda nchi yao kwanza, amekuwa akisisitiza kuwa "siasa ni chombo tu cha kutufikisha kwenye matamanio yetu" hivyo itikadi zetu za kisiasa kamwe...
  8. Tomaa Mireni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzalendo una tofauti gani na ubinafsi?

    Uzalendo ni nini? Ubinafsi ni nini? Mtu akipenda sana familia yake na jamii yake kiasi cha kuijali na kujitoa kwa ajili yake hawezi kuitwa mzalendo kwa jamii yake? #Maelezo ya screenshot ni wikipedia
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi atoa Somo la Uzalendo

    Mh. Waziri wa Sheria na Katiba amesikika leo akitoa somo: Hii ikiwa hata vumbi la kuangushiwa jumba bovu lingali halijatulia: Kuna haja ya tafsiri za neno hili "uzalendo" kupitiwa vyema ila kuwa na tafsiri moja. Tulipo leo haieleweki. Kwa jina la uzalendo Polepole anananga anaowaita...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujenga uzalendo kwenye taifa

    Uzalendo hauhubiriwi bali unajengeka wenyewe kwenye mioyo ya watu. How? Elimu yetu. 1. Shule za msingi: darasa la kwanza, pili na tatu wanafunzi wajifunze TU kusoma, kuhesabu, kuandika na kuimba nyimbo mbalimbali kuhusu nchi yao ukiwemo wimbo wa taifa. Wajifunze kuichora ramani ya Nchi yao...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wachina wajivunia utaifa na uzalendo, miaka 50 baada ya kurejeshewa kiti halali cha China katika Umoja wa Mataifa

    NA CAROLINE NASSORO Wananchi wa China wamevamia mitandao ya kijamii wakitoa heshima kwa mashujaa waliojitoa mhanga kwa ajili ya amani na ustawi wa taifa hilo, na pia kwa China kujitolea kulinda utaratibu wa kimataifa na amani ya dunia. Hayo yamefanika wakati wa kumbukumbu ya miaka 50 tangu...
  16. MulegiJr

    JamiiForums Tanzania Uzalendo, Itikadi za vyama na Usaliti

    Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe. #Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alipunguza mshahara wake kwa uzalendo

    Waungwana kumhusu huyu mja wake mola yapo mengi. Kwa ufupi haya ni maelezo bora kabisa kumhusu yeye kama binadamu na kama kiongozi. Huyu hakuwa na ubinafsi. Hakuwa na ubaguzi. Huyu ni tofauti kabisa na wote tuliowahi kuwa nao. Nani kama huyu? Tuacheni kuwalazimisha watu kutapika nyongo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Dhana nzima ya neno Uzalendo

    Habari wakuu !!!leo nimetafakari sana dhana nzima ya uzalendo! Hizi ndo Tabia za mtu mzalendo 1: Ni mwaminifu na mwadilifu kwenye kazi yake na majukumu yake Mithali 14:5 Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo. 2: Ni kiongozi ambaye hana upendeleo kwa...
  19. kipara kipya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Timu ya taifa haina chama, tumuige Zitto Kabwe

    Zitto kabwe nae inaonekana alifanya mazoezi kwa vitendo hapo akiwa na meneja wa staz Nadir haroub canavaro jasho la kwapa machozi na damu lazima stazi icheze qatar world cup!
  20. waziri chengula

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Nawasalimu kwa jina la muungano! Katika vipindi vitatu vya uongozi ambao umekaribiana sana yaani kipindi cha JK,JPM na hiki cha mama yetu nimejifunza mengi kuhusu siasa na uzalendo. Nazungumzia hivi vipindi vitatu kwasababu enzi za kina nyerere na mwinyi huko nyuma uzalendo ulikuwepo na uchungu...
Back
Top Bottom