uzalendo

Chama Cha Uzalendo (English: The Patriotic Party) is a Kenyan political Party that was one of several affiliates of Mwai Kibaki's Party of National Unity in the 2007 general election. It is currently headed by veteran politician and former Nakuru North Constituency Member of Parliament Koigi Wamwere and had two elected Members of Parliament in Central Imenti's Gitobu Imanyara and Wavinya Ndeti in kenya's 10th Parliament.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Shule ya Uongozi

    Hivi kuna Mtanzania mzalendo kama Humphrey Polepole? Huyu jamaa ni mzalendo kweli wa nchi yake japo ni chama cha mapinduzi lakini ni mzalendo Hawa ni aina ya CCM ya kina Nyerere yaani wale wanaccm wenye uzalendo na utaifa na walobaki nchini Kiukweli I declare interest kwamba namkubali...
  3. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Tozo ya uzalendo inatakiwa isizidi gharama za muamala, iwe 'fixed', iwe na muda maalum na iwe hiari

    Haya ni maoni yangu juu ya hii tozo ya uzalendo (Ingawaje hili jina limekaa fyongo sana, kwa nini unitoze kwa sababu mimi ni mzalendo?): Serikali hasa wizara husika inapaswa kuweka benchmark/fixed rate ambayo kila mzalendo atakatwa kiwango sawa bila kujali kiwango cha muamala anaofanya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnakosa uzalendo kwa ushabiki usiofaa

    Kuweni wazalendo kwa taifa lenu, iwe ni kwenye shida au raha. Pendeni kuwa wapenda amani na muache ushabiki wa kitoto. Tukio la Kinondoni ni tukio baya kwa Taifa letu. Halipaswi kuhusishwa na siasa kisha kuonyesha furaha zisizo na maana. Mnajiabisha mbele ya Taifa lenu.
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua taifa letu halina mpasuko wa kisiasa, hakuna haja CCM kukaa meza moja na wapinzani wasio na uzalendo

    Wembe ni uleule, CCM ipo kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo wananchi. Habari kuwa kuna wanasiasa walibaguliwa na kutengwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli ni kuleta porojo ambazo hazina mashiko. Ni Mtanzania gani anataka umoja na wanasiasa ambao hawalitaki mema taifa lao kwa...
  7. Memento

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala Wakili wa CHADEMA, Mungu akubariki sana

    Tumezoea kuona watu wakitoa sifa nyingi mtu anapokufa, lakini ninaomba sifa nizitoe mtu akiwa hai. Mara nyingi nimeona wakili Kibatala akipanda mahakamani kwenye kesi za viongozi wa chadema, analipwa au halipwi hio sijui na hainihusu. Lakini kitendo tu cha kukubali kusimamia kesi za upinzani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa Tanzania kutolipa kodi ni uzalendo?

    Viongozi wa Tanzania kuanzia Bungeni wamekuwa wakipitisha sheria mbalimbali za kuipatia serikali mapato kupitia kodi. Lakini viongozi mbalimbali wao hawalipi kodi kupitia mishahara yao na posho. Je, viongozi wa aina hii ni wazalendo kwa nchi yao? Je, unaweza kuhimiza wengine wafanye kitu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tusikifumbie Macho Kiingereza kana kwamba huo ndiyo uzalendo

    UTANGULIZI Pamekuwa na mijadala na minong’ono mingi juu ya kuporomoka kwa uelewa wa lugha ya kiingereza. Tafiti mbalimbali zimefanywa na watu pamoja na taasisi mbalimbali zikionyesha kushuka kwa umahiri wa kuzaungumzwa kwa lugha ya kiingereza. Na sababu kubwa kabisa ambayo imekuwa ikitajwa ni...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa kweli wa wabunge wetu

    Wasalaam, Kama kweli wabunge wetu wameguswa na maumivu ya hizi tozo wananchi wao tunazolalamikia, nashauri wajitolee kurudi bungeni Kwa zarura bila malipo wakat ammend hii sheria. Ushauri tuu ili tuone kama walikusudia ama LA.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

    Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi . Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Mbunge anakunja milioni ishirini na mbili (22,000,000/=) kwa mwezi lakini halipi kodi Mbunge huyo huyo anatunga sheria ya kodi huku yeye akijipa kinga ya kutolipa kodi! Pesa anazolipwa Mbunge zinatokana na kodi ya ambao hata mlo moja kwa siku ni shida! KumbeTanzania inajengwa na wazalendo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi uzalendo ni kuwapunguzia Watu mlo, na si kinyume chake?

    Kiongozi anapambana kuaminisha Watu kuwa tunahitaji kupunguza matumizi/lishe ili tukidhi vigezo vya Uzalendo, hii ni sawa? sio kwamba tunatakiwa tuongeze kipato ili tule vizuri...Yaani badala ya kula vipande vitatu vya mihogo sasa tunatakiwa tule kipande kimoja tu au hata tushindie maji? Siku...
  15. 2019

    JamiiForums Tanzania TRA Kufungwa akaunti za Wafanyabishara VS Waziri Kutoza wananchi kodi ya uzalendo ni bora lipi?

    Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania. Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo kitu gani?

    Aandika Mohammed Ghassani Uzalendo gani!? Mpendwa muheshimiwa, anapanda jukwaani huku mbweu anatowa, anukia biriani tutakaohutubiwa, hatuna kitu tumboni Muheshimiwa ajuwa kwamba watu wana njaa lakini kalewa pawa. Basi anatuhimiza: “uzalendo ndu’ zanguni!” “uzalendo!” “nchi yetu!”, hii...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kodi ya uzalendo kwenye tiketi za mabasi ili tukamilishe SGR haraka zaidi

    Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake" Mwigulu amekuwa...
  18. Godlisten9

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabara yaliyoendelea yanaichukulia bangi katika nafasi kubwa ya kuendeleza uchumi wa nchi zao

    Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari. Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Tozo ya uzalendo ni ubunifu, tunajenga barabara vijijini

    Hii nchi haina uongozi aiseee Tumepigwa Mama anaupiga mwingii ===== Tozo mpya iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Sita kupitia mitandao ya simu na mafuta katika vyombo vya usafiri, zinaenda kuwanufaisha wananchi wa vijijini kwa kufungua mtandao wa barabara vijijini. Hayo yamesemwa na...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya wanyonge: Bank charges vs kodi ya uzalendo ya Mama Samia

    Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500 Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa. Huu ni...
Back
Top Bottom