Naiona posho kiduchu mafunzo ya makarani wa Sensa 2022 (Tsh 10,000-20,000) kwa kisingizio cha Uzalendo, na si 60,000 kama wanavyotegemea wengi

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao.

Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi hewa, Loliondo, na hali ngumu ya maisha serikali imeruhusu wasio na ajila serikali kuomba zoezi la sensa ila kuajili na kulipa ujira mdogo kabisa eti kubana bajeti. Tsh 10,000 hadi 20, 000/- kwa siku. Je nini madhara yake.

  • Watu wengi sana wameomba na kuzua ushindani usio na msingi
  • Watu wengi sana watakosa na kuona kama walisumbuliwa kutumia GHARAMA na muda na kuwa na matumaini na kazi hiyo

- Wengi wameanza kutafuta njia za ujanja kupata nafasi hizo ata kuhonga wakitegemea ujila wa kutosha tsh 60,000 kwa siku 21.

- Watu wengi watatapeliwa na hawatapata ajila kwa nafsi zilizopo.

- Majina yakitoka hisia za rushwa
kushamiri serikalini kitakuwa kikubwa sababu hakuna vigezo dhahili vitakavyotumika.

- Chuki dhidi ya ujira mdogo, kukosa nafasi na upendeleo zitaongezeka.

- Walimu na shida zao wakikosa watajihisi kutengwa kwani zoezi hili muda wote walihisi ni halali yao.

Ukweli nasisitiza tu!!! Hizo hisia za uzalendo mfanye uko juu. Sio chini kwa makapuku. Huu uzalendo na dhuluma kwa masikini kwa uzalendo wa kulazimishana sio sawa. Sio uko juu mwaka wa tatu mnalamba maposho makubwa makubwa ya maandalizi ya sensa alafu makalani muwaaimbie uzalendo.

Sensa ni zoezi muhimu sana kwa taifa. Na kunawakati nazani 2008 serikali ilihairisha ili ijipange na ifanye kitu cha uhakika. Msilipue. Sensa ya watu na makazi kwa mipango bora ya Taifa. Makalani ndio wahusika wakuu ujira wao uwe na tija.
 
Sensa ilitakiwa ifanyiwe na Wanafunzi wa sekondari na Walimu!
Walimu sawa.Ila hao wanafunzi na watu ambao hawana kazi maalum(hata kama wana elimu)hapana. Wameharibu kazi ya postikodi hadi basi. Wana haraka, ubabaishaji, wanaruka kazi wakiwaza posho tu.Wanajua hakuna wa kuwawajibisha wakishaondoka.Walimu wana nidhamu na kujitambua.
 
Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao.

Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi hewa, loliondo, na hali ngumu ya maisha serikali imeruhusu wasio na ajila serikali kuomba zoezi la sensa ila kuajili na kulipa ujira mdogo kabisa eti kubana bajeti. Tsh 10,000 hadi 20, 000/- kwa siku. Je nini madhara yake.

-Watu wengi sana wameomba na kuzua ushindani usio na msingi
-watu wengi sana watakosa na kuona kama walisumbuliwa kutumia GHARAMA na muda na kuwa na matumaini na kazi hiyo
-wengi wameanza kutafuta njia za ujanja kupata nafasi hizo ata kuhonga wakitegemea ujila wa kutosha tsh 60,000 kwa siku 21.
- watu wengi watatapeliwa na hawatapata ajila kwa nafsi zilizopo.
-majina yakitoka hisia za rushwa kushamiri serikalini kitakuwa kikubwa sababu hakuna vigezo dhahili vitakavyotumika.
- chuki dhidi ya ujira mdogo, kukosa nafasi na upendeleo zitaongezeka.
-walimu na shida zao wakikosa watajihisi kutengwa kwani zoezi hili muda wote walihisi ni halali yao.

Ukweli nasisitiza tu!!! Hizo hisia za uzalendo mfanye uko juu. Sio chini kwa makapuku. Huu uzalendo na dhuluma kwa masikini kwa uzalendo wa kulazimishana sio sawa. Sio uko juu mwaka wa tatu mnalamba maposho makubwa makubwa ya maandalizi ya sensa alafu makalani muwaaimbie uzalendo.

Sensa ni zoezi muhimu sana kwa taifa. Na kunawakati nazani 2008 serikali ilihairisha ili ijipange na ifanye kitu cha uhakika. Msilipue. Sensa ya watu na makazi kwa mipango bora ya Taifa. Makalani ndio wahusika wakuu ujira wao uwe na tija.
😅😅😅😅
Duuh lakin mda utaongea!!!!!
 
Watu hasa watumishi kwa miaka ya nyuma serikali ilitumia kazi maalumu na kuwapa posho kwa dm ili kuongeza motisha na tija na uhakika wa kazi bora kwani ni rahisi kudhibiti utendaji wao.

Kwa kile kinachoonekana nia ya Viongozi wa serikali kuzidi kuchonganisha Raisi na kila kundi baada ya ahadi hewa, loliondo, na hali ngumu ya maisha serikali imeruhusu wasio na ajila serikali kuomba zoezi la sensa ila kuajili na kulipa ujira mdogo kabisa eti kubana bajeti. Tsh 10,000 hadi 20, 000/- kwa siku. Je nini madhara yake.

-Watu wengi sana wameomba na kuzua ushindani usio na msingi
-watu wengi sana watakosa na kuona kama walisumbuliwa kutumia GHARAMA na muda na kuwa na matumaini na kazi hiyo

-wengi wameanza kutafuta njia za ujanja kupata nafasi hizo ata kuhonga wakitegemea ujila wa kutosha tsh 60,000 kwa siku 21.

- watu wengi watatapeliwa na hawatapata ajila kwa nafsi zilizopo.

-majina yakitoka hisia za rushwa
kushamiri serikalini kitakuwa kikubwa sababu hakuna vigezo dhahili vitakavyotumika.

- chuki dhidi ya ujira mdogo, kukosa nafasi na upendeleo zitaongezeka.

-walimu na shida zao wakikosa watajihisi kutengwa kwani zoezi hili muda wote walihisi ni halali yao.

Ukweli nasisitiza tu!!! Hizo hisia za uzalendo mfanye uko juu. Sio chini kwa makapuku. Huu uzalendo na dhuluma kwa masikini kwa uzalendo wa kulazimishana sio sawa. Sio uko juu mwaka wa tatu mnalamba maposho makubwa makubwa ya maandalizi ya sensa alafu makalani muwaaimbie uzalendo.

Sensa ni zoezi muhimu sana kwa taifa. Na kunawakati nazani 2008 serikali ilihairisha ili ijipange na ifanye kitu cha uhakika. Msilipue. Sensa ya watu na makazi kwa mipango bora ya Taifa. Makalani ndio wahusika wakuu ujira wao uwe na tija.

Hivi wewe huwa unawaonaje walimu ukilinganisha na watumishi wengine katika mishahara? Una uhakika na unachobwabwaja hapa?
 
Kiongozi mpunga upo wa maana but wameogopa wakitangaza mapema vikumbo vitkuwa vingi kwenye mchakato wa kuwapata hawa makarani watu na wasimamizi
 
mtu anamenyeka hotelini asubuhi mpaka usiku kuhudumia wateja unalipwa 6000 tu, hao wasensa wao wamebeba kalamu tu 20000 mbona nyingi sana
 
Malaya anakata viuno na utamu anapata pia anachukua iyo 20000. Bado unaona nyingi?
 
Kiongozi mpunga upo wa maana but wameogopa wakitangaza mapema vikumbo vitkuwa vingi kwenye mchakato wa kuwapata hawa makarani watu na wasimamizi
Walimu hamjaoma tu na ole ya 23.3? Mmegeukia mategemeo kwenye sensa?
 
mtu anamenyeka hotelini asubuhi mpaka usiku kuhudumia wateja unalipwa 6000 tu, hao wasensa wao wamebeba kalamu tu 20000 mbona nyingi sana
Pole, wananchi tuache unyonge na kujipendekeza, kinacho stahili ni kiwango kilicho rasmi na cha haki kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom