Uzalendo kwenye soka la Simba na Yanga

babacollins

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
901
212
Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine.

Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu nyingine. Hakuna raha kwa mpenzi au shabiki wa Simba kwa Yanga kuifunga timu nyingine hata kama inawakilisha taifa au mkoa na kwa wa Yanga halikadhalika hawezi kuipata furaha kwa Simba kuifunga timu nyingine hata kama inawakilisha taifa au mkoa kwa kigezo cha UZALENDO.

Ni vigumu mno kuupata uzalendo wa kisiasa kwenye soka. Soka lina UZALENDO wake.

Mimi mchezaji kiongozi.
 
Basi mimi nipo tofauti, Eti timu ya Bongo icheze na mwarabu, niwashangilie waarabu, subutu!, Baadhi ya watu weusi hasa Watanzania, tuna ubinafsi na roho mbaya sana.

Rejea kwenye maisha ya kawaida, jaribu kufanya jambo la maendeleo, halafu sikiliza yatakayosemwa!!, by Munyalutanana a. k. a Mkwavinyika
 
Back
Top Bottom