Mtaalam, mwenye uwezo na mzoefu wa kuongea na maruhani anahitajika

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,197
2,000
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa.

Anaye mfahamu mtu huyo tafadhali msaada ni kwa nia njema sana maana kuna mambo yanahitaji ufafanuzi.

Karibuni mwenye uwezo mkubwa na caliber hiyo haya ni mazungumzo ya ana kwa ana.
 

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,781
2,000
Mkuu kiukweli hata mimi nina shida kama ya kwako.

Sasa katika kupekua pekua huku na kule nikakutana na member humu JF anaitwa Rakims.

Yeye aliniambia ana uwezo huo wa kuongea nao japo sikupata nafasi ya kuonana naye,na wewe jaribu kumtafuta uongee naye labda atakusaidia hiyo kazi.

Pia ungetaja location ulipo ingekuwa vizuri zaidi ili uelekezwe kwa wazee walio karibu yako.
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,543
2,000
Wana Body, anahitajika mtaalam, mwenye uzoefu na mwenye uwezo wa kuongea na MARUHANI, atalipwa kwa kazi hii ya masaa machache au lisaa tu. swala hili ni nyeti sana kuna mazungumzo ya kina na maswali na majibu yatahitaji kujibiwa na kuulizwa...
Mtafute shangazi.

Hili mtani wangu wa kilingeni hafurukuti
 

Bombabomba

JF-Expert Member
Dec 23, 2017
1,246
2,000
Dah! Nilishawhi kuwa na Demu ana maruhani/majini. Mie nataka raha yanatoka kwa Demu wangu. Yalinichachafya halafu GETO kwa Msela ilikuwa noma. Mama wa Msela akaja kubonga nayo, nikafeli game badala kuulizwa lengo ninkumchafua kiti au kuoa! Loh! Mwishowe nikagundua wakazi wa kubambia nisimshike utosini, ni kama unayaita hivi.

Tukaendelea kulana hadi tulipopoteana. Kuna yale Unajua kiswahili, mengine lugha nyingine. Mkielewana na wadau wanakutana na unafuu a maisha pia
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom