Kumekucha!
Lengo la mjadala huu ni kuwafahamisha wanajamii kuwa wakati mwingine wasiwe na mategemeo makubwa saana juu ya utendaji wa viongozi wao. Wachukulie kawaida tu kwamba tunaenda kimungu-mungu. Lakini wajue moja ya sababu zinazotufanya tukwame kwa miaka mingi ni kuwa na watu wa namna hii...
Tumeona ufundi wa kibiolojia ukibadilisha mambo mengi sana. Tumepata ng'ombe wa kisasa wanaotoa maziwa na nyama nyingi. Tuna kuku wa kisasa wanaotaga sana na kutoa nyama kibao. Tuna miwa yenye sukari nyingi, nguruwe wakubwa. Aina mbalimbali za mbwa. Mimea inayostahimili ukame na magonjwa nk...
Je, Uwezo wa mtu kufikiri na kutenda, unaendana na nchi aliyopo?
Kuna mambo ukiyatafakari saana, unaweza kuona kwamba, uhusiano kati ya mtu uwezo wake wa kufikiri na kutenda kunatokana na nchi aliyopo,kuna nchi zina watu wasomi, ambapo mambo yao huendeshwa kitaalamu na kiuweledi wa kutosha...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili.
Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama
Nyumba yetu inazidi makelele, jee tumshinikize Mama aonyeshe uwepo wake, kwa...
Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye...
Salama Wakuu!
Kwa jinsi mambo nilivyoyakuta na yalivyosasa kuhusiana na Siasa za nchi hii, nadiriki kusema kuwa CHADEMA bado Sana katika kuchukua nchi.
Nimeanza kufuatilia Siasa mwaka 2005, mpaka sasa ni miaka 16. Sio miaka mingi ila pia sio michache Sana. Inatosha Kueleza Jambo...
Kama mwanafunzi hana utindio wa ubongo huyo anafundishika na akafanya vizuri kabisa katika masomo yake.
Wanafunzi wamegawanyika katika makundi makuu matatu;-
Ni wanafunzi ambao wana uwezo mkubwa wa uelewa na kutafakari; hawa wakifundishwa kidogo tu inawatosha.
Na wengine wapo wenye uwezo wa...
Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle)...
Je hii speed yakutangaza mapambano dhidi ya corona inaendana na uhalisia? Wizara makatazo yake hayapo specifiki kulingana na tatizo lilivyosambaa bali wapo general.
Unasema tusikusanyike bila kusema wapi, unasema watu wasiingie mahabusu bila vipimo bila kutuambia lini mmepeleka wataalam wa...
Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona.
"That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wastani sana.
Katika Uongozi, Mzee Mkapa ndiye angalau aliimarisha mifumo ya Serikali na...
Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna hoja nyingi kuhusu chanjo ambazo alizitoa hadi leo hajaona majibu yake zaidi ya kuona uzushi wa yeye...
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe
Amesema...
"Nchi yetu imeshuka kiuchumi tangu lilipoanza janga la #Corona. Tulikuwa tunaingiza Trilion 6 na zaidi kwenye utalii ila kwa sasa mapato yameshuka mpaka trilion 2" Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu.
"Ujerumani yenyewe imeweka solidarity fund hii ni kwa ajili ya wale wenye uwezo kutoa ili...
Habari wakuu.
Hivi ingekuwaje iwapo halmashauri za wilaya a mikoa ingepewa ruhusa ya kusaka wawekezaji popote duniani, kwa kujitangaza na kuwapa incentives zilizopo katika maeneo yao kama ardhi, kuwapelekea maji na kuwachongea barabara?
Mfano labda wilaya ya Mbinga itangaze kuwa inahitaji...
Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa?
Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
Binadamu kafeli, tunaenda kwa speed ndogo sana ya maendeleo hasa kwenye suala la technologia, speed yetu ipo limited mno, kuanzia anga, majini hata nchi kavu.
Tunajisifu ujinga tu, tukigundua kitu kidogo tu makelele miaka mitano au sita,akitokea mmoja wetu na wazo la ujinga tu(mf:elon musk)...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila siku za Jumatatu, huwaletea makala za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambayo huchapishwa na gazeti la Nipashe la Jumapili, ambazo ziko kwa mtindo wa maswali, majibu ya maswali hayo, utayapata wewe mwenyewe, na kisha tutawatafuta wahusika, ku balance hii mada, hivyo...
Mechi kali kama ya leo ya Simba na Yanga huwa na vimbwanga vingi kila shabiki akizungumzia umaridadi wa timu yake.
Mbali na hilo, kuna suala la hela. Je, unaweza kuiua timu yako kwa kuwa anaamini uwezo wa timu nyingine?
Kama unaweza, kwa nini usihamie timu hiyo ambayo unaamini uwezo wake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.