uwezo

  1. J

    Kati ya wabunge wa EALA waliochaguliwa ni wawili tu ndio wenye uwezo wa kupambana ktk mijadala. Tanzania inakwenda kushindwa na kuadhirika

    wagombea kutoka Tanzania. wagombea toka Uganda.
  2. The Assassin

    Angalia uwezo wa Samsung Galaxy S22 Ultra

    Angalia maajabu ya Samsung Galaxy S22 Ultra. Kwa teknolojia ya kisasa ya kamera ujue hakuna usiri tena. Unaweza kufanya jambo ukiamini hakuna anaekuona kumbe mtu yuko kilomita kadhaa anakuangalia tu. Juzi baada ya Apple kutoa Iphone 14 nikawa naangalia reviews kadhaa online ikiwemo ya...
  3. BARD AI

    iOS 16 yalalamikiwa kwa kuua uwezo wa Betri za iphone

    Ni wiki mbili tu zimepita tangu iOS 16 itoke lakini watumiaji wengi sana wanalalamika kuisha charge haraka na Battery Life inazudi kushuka katika zile asilimia. Asilimia 63% ya watumiaji wamelalamika Battery kuisha charge haraka na battery life kushuka. Pia ukilinganisha na iOS 15, mfumo wa iOS...
  4. BARD AI

    iPhone 14 Pro na Pro Max zinatumia sensor ya Camera yenye uwezo wa 48Megapixels

    Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP. Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP. Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
  5. MK254

    Ukraine wakamata babkubwa nyingine, kifaa chenye uwezo mkubwa kilichoachwa nyuma na waoga

    Ukraine walitumia mkakati wa ajabu sana, kuwaacha Warusi waingize vifaa vya maana kisha kuwatoa nduki.... Hili hapa ni dubwasha lenye uwezo mkubwa kimitambo.... Ukraine Just Captured Another Rare Russian Electronic Warfare Vehicle© via Twitter The potential intelligence windfall from the...
  6. GENTAMYCINE

    Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

    1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela 3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba 4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah 5. Hayati Rais Benjamin Mkapa 6...
  7. Nyankurungu2020

    Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  8. M

    Unapenda watoto wako wawe na uwezo gani darasani?

    Wazazi wengi wanaumia sana kuona watoto wao hawafanyi vizuri darasani, lakini mbona huku mtaani wakali darasani ni vilaza tunakutana pamoja kwenye kutafuta cash, na mara nyingi tunazidiwa na wale vilaza. Mimi napenda mtoto awe na uwezo wa kati darasani ili awe na muda wa kujifunza vingi kuliko...
  9. M

    Tanzania hakuna uhusiano kati ya pesa na uwezo darasani

    Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri. Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...
  10. L

    SoC02 Namna nilivyoweza kupunguza gharama za kilimo kwa kutengeneza mbolea yenye uwezo mkubwa wa ajabu

    Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo. Na kilimo imekuwa mhimili mkubwa wa maisha ya kila siku ya watanzania wengi. Pamoja na kuwa kilimo...
  11. N

    Nilichoamua kufanya baada ya kugundua sina uwezo wa kipesa wala akili za kiubunifu za kuikomboa jamii

    Naipenda sana jamii yangu Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
  12. Sky Eclat

    Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

    Umekutana na mchumba, anakupeleka nyumbani unakuta ni nyumba ya mbavu za mbwa. Wazazi waliwekeza hela zao nyingi katika elimu ya binti yao, amefanikiwa kumaliza kidato cha nne na ana certificate ya chuo lakini haja pata ajira. Wakwe ni wakarimu na ni waungwana. Unaamua kupeleka barua ya posa...
  13. Tango73

    Yanga tumejifunza nini na uwezo wa kocha wa simba?

    UFUNDI WALIOUNESHA SIMBA kipindi cha kwanza hadi kufikia kupata bao la kuongoza ni tahadhali nzuri ya kujifunza kuelekea kuchukua bingwa mfululiizo. Huyu kocha wa SSC ni mzuri sana sana na inaonesha simba itaweza sana kuzifunga timu magoli mengi katika mechi zao kila watokapo uwanjani...
  14. MSAGA SUMU

    Uwezo wa Freeman Mbowe unafikirisha sana, karibia wapinzani wote Afrika wanaingia Ikulu

    Mbowe ukimuangalia kwa wasiwasi unaweza kudhani jamaa ana mipango mizuri na uwezo wa kupeleka upinzani Ikulu, lakini ikifika uchaguzi ndio unafahamu hasa uwezo wake. Majirani zetu karibia wote wapinzani wameenda Ikulu, wengine wamekuja wamemkuta Mbowe Ni mwenyekiti tayari lakini Leo wako Ikulu...
  15. 6 Pack

    Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Kwanza salam zangu za leo ziwafikie popote mlipo member wenzang. Kuna best friend wangu alikuwa anauliza swali hili hapo chini 👇 Kati ya: 1] Mchina 2] Mwaarabu 3] Muhindi Ni race ipi ambayo ukifanya nayo kazi haiwezi kukusumbua kwa upande wa malipo na haki zako zingine za msingi? Maana jamaa...
  16. Pascal Mayalla

    Reading in between the lines & listening in between the words. Ikitokea kuna kitu amekinoti lakini hakukisema, ukikijua kuna ubaya tumseme?

    Wanabodi, Hili ni Bandiko la swali, kuhusu moja ya zile mada ngumu za psychoanalysis, ambayo hoja zake ni vitu vya kufikirika tu na havijatamkwa rasmi, lakini vitu hivyo, vikisemwa na kujadiliwa kwa uwazi, vitalisaidia taifa. Watu tumeubwa tofauti tofauti, wengine ni good observers na wengine...
  17. M

    Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  18. M

    Kama Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu matibabu, basi yawe bure

    Mwanafunzi ahaha kulipa deni la Sh9 milioni Mloganzila Rombo. Mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo mkoani Dodoma, Lightness Shirima (22) amesema anahangaika kulipa deni la matibabu la Sh9 milioni aliloliacha baba yake aliyefariki dunia Hospitali ya Mloganzila ili apatiwe...
  19. The bump

    Natafuta Mpenzi wa kike Mwenye uwezo Kipesa (Financialy Stable)

    Sifa za nimtakae (Mwanamke) Vigezo vyake : Dini : yoyote ile sijali Mtoto : Akiwa nae asizidi mmoja Kazi : Awe mfanyabiashara/Muajiriwa vyovyote ila Ki uchumi awe vyema (Akiwa Mfanyabiashara ningefurahi zaidi) Umri : 25-35YRS Umbo : Asiwe mnene (BONGE) awe wa kawaida Rangi : Yoyote Elimu ...
  20. N

    Tujikumbushe: Weledi wa Barbara kupinga ubaguzi wa Manara dhidi ya uwezo duni wa Engineer Hersi kiuweledi

    Hakuna mtu anayestuka na ujinga wa sope takadini ni kama toto dogo linalochezea matope lakini wengi wamestuka sana kuona ujinga wa kitoto unaofanywa na Hersi na Arafat, vijana wanodaiwa kuwa ni wasomi (may be walifoji vyeti, who knows) waliyoyafanya Jumamosi ni kituko sana wao wanajiona wajanja...
Back
Top Bottom