uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji wanawezaje kuingia uwanjani bila utaratibu rasmi (kuruka ukuta) lakini mashabiki hawawezi?

    Kuna kitu huwa kinanishangaza sana katika karne hii ya 21 kila nikisikia kuwa wachezaji wa timu fulani (hususani Yanga na Simba) wamepigwa faini kwa kosa la kuingia uwanjani pasipo kupita kwenye geti rasmi la wachezaji (kuruka ukuta) na wakaingia uwanjani (pitch) na vyumbani. Maswali...
  2. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  3. Objective football

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama sio kutukimbia uwanjani siku ile, Yanga ingeambulia kipigo cha fedheha mno

    Hawa watu naona MUNGU aliwanusuru na kichapo kikali sana, kikosi changu kilikua sawasawa haswa. Nakumbuka siku iyo nilishiba wali maharage, satisa nanusu alasiri nikawahi siti ya mbele kucheki mechi hii Ya SIMBA vs YANGA pale kwenye banda umiza la diwani. Michuano ilikua ya kagame na klabu za...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  5. benzemah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

    Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako kwenye hili ____? Chanzo Clouds Media https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Raia wa Ghana Raphael Dwamena Aanguka na Kufariki Uwanjani

    Mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana Raphael Dwamena amedondoka leo hii ghafla uwanjani na kupoteza maisha, wakati timu take ya KF Egnatia ikicheza dhidi ya Albania ikiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Partizan. Mchezaji huyo mara baada ya kudondoka alipatiwa huduma ya kwanza uwanjani hapo na...
  7. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
  9. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Liverpool alalamika kutolewa uwanjani huku mechi ikiendelea kwa sababu ya kuvaa koti lenye ujumbe wa "Free Palestine"

    Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine". Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  12. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

    Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow. ========= Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege nne za kijeshi za Urusi zalipuliwa uwanjani na drone ya Ukraine

    Bandugu, patanei picha yaani kindege kidogo cha drone kinalipua mindege ya ya kivita, hasara ya ajabu sana na aibu kwa Urusi.... Russian media outlets reported that four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov as a result of a drone attack. Source: Mikhail Vedernikov...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Lionel Messi anamlinda hadi wakati wa kushangilia uwanjani

    Mlinzi huyo Yassine Chueko ambaye ni Mwanajeshi wa zamani wa Marekani ameajiriwa na Inter Miami kwa mapendekezo ya mmiliki wa Klabu hiyo, David Beckham kumlinda Lionel Messi popote anapokwenda akiwa katika majukumu ya kazi yake. Kilichowashangaza watu wengi ni kuona Mlinzi huyo ambaye pia ni...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Mpaka muda hii Kitayose hawajatokea uwanjani kupasha misuli. Bado dkk 18 mpira uanze. --- Kitayosce FC ilianza mechi dhidi ya Azam ikiwa na wachezaji nane [8], Bodi ya Ligi tulipokea uthibitisho kutoka TFF kuwa wachezaji nane [8] tu wa Kitayosce ndio wanastahili kucheza mechi ya Ligi. Kikanuni...
  17. Majok majok

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kutetea ugali wako ni sawa lakini uhalisia wa timu yako uwanjani unakuumbua

    Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine! Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
  18. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  19. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mchezaji kutokea Mkoani Kigoma akutana na Leonel Messi uso kwa uso uwanjani

    Huyu ndio Mwana Kigoma Makali ya Bernad Kamungo yalianzia hapa katika uwanja huu wa Nyarugusu, kwenye ardhi ya mkoa wa Kigoma. Alizaliwa January 1, 2002, Kasulu kijiji cha Nyarugusu. ........... Hapa ni Kigoma Kasulu, Huu ndio uwanja wa Nyarugusu ambapo makali ya Bernard Kamungo yalianzia...
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
Back
Top Bottom