Ndege nne za kijeshi za Urusi zalipuliwa uwanjani na drone ya Ukraine

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,675
48,449
Bandugu, patanei picha yaani kindege kidogo cha drone kinalipua mindege ya ya kivita, hasara ya ajabu sana na aibu kwa Urusi....


Russian media outlets reported that four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov as a result of a drone attack.

Source: Mikhail Vedernikov, governor of Pskov Oblast; TASS, a Kremlin-aligned Russian news outlet, with reference to emergency services; Telegram channel Mash

Quote from Vedernikov: "The Ministry of Defence is repelling a drone attack at Pskov airport."

"As per the available information, there are no casualties. The scale of the destruction is being established."

Details: According to TASS, four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov after the drone attack.
 
Kinachoshangaza ni jinsi Ukraine anavyotumia cheap drones na kuweza kumtia urusi irreplaceable loss

Wakati huo urusi anatumia makombora ya ghalama plus drones, lakini ukiangalia target ya maana aliyofikia ni zero

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Vita imewafanya wawe so creative kias kwamba wamekuja na cheap ways to fight, cheap but effective
 
Back
Top Bottom