uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dubu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

    Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege! Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena. Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gabriel Gerald Geay Anogesha mbio za Uwanjani za Majaribio (Trials, Track and Fields Events) Jijini Arusha

    Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo. Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaookota mipira uwanjani waswahili husema usiige kunya kwa tembo. TFF chukueni hatua tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Siku zote mtu kufanya jambo lisilo la kwako na kulifanya kuwa la kwako lazima utaangukia pua tu. Tangu mechi ya Jana kati ya Taifa Stars na Niger kuna kitendo kilifanywa na hawa Vijana wanaookota mipira uwanjani, walirusha mara kadhaa mipira uwanjani kwa mkupuo. Watanzania wengi walishangilia...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua ndiyo ilikuwa tatizo Uwanjani. Tumejua makosa yetu ni...

    Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila...
  6. Smt016

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga waliingia uwanjani kwa kuidharau Simba

    Mechi ya jana imeamulia na saikolojia ya wachezaji, nyuso za wachezaji wa Simba walikuwa na shauku kubwa sana ya kudhihirisha kitu mbele ya wapenzi wa mpira wa miguu ulimwenguni kutokana na kukosolewa kwao kuwa ni kikosi kibovu huku Yanga kwavile wanaongoza ligi na wamepoteza mechi moja tu...
  7. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike. ==== Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtakaoenda Uwanjani kwa Mkapa kabla na baada ya kuingia ndani tukutaneni pale Baa ya Minazini tujuane tafadhali

    GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums. Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna mtu mwenye akili timamu alienda uwanjani akiamini Simba itashinda dhidi ya Casablanca?

    Nimeona mashabiki wengi wa Simba eti wanaongea kwa uchungu sana na wanamlaumu kocha kisa kufungwa na Raja! Hivi kweli tukiweka bangi pembeni Kweli Mtu unashangaa simba kufungwa na Raja? Tukubali tukatae wale watu hakuna timuvya kuwafunga hapa bongo na jana mpira walioucheza walicheza kwa...
  10. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheri hapa inasemaje? Karibu uwanjani

    Ikiwa mtu kaja kwangu kutaka nimkopeshe hela kama laki nayeye kakubali kuleta kitu cha thamani ya hela au zaidi na tukaandikishana ili kama hatalipa kwa wakati vitu vinakuwa wangu. Sasa ikapita muda wa makubaliano anakuja kudai nimpe vitu anipe hela wakati muda umepita je hapo kisheria ipoje?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naheshimu Kipaji cha Saido Ntibanzokinza ila asitake Kung'ang'ania kila Jambo la Uwanjani alifanye Yeye tu

    Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote akaiharibu. Saido Ntibanzokinza asilazimishe sana Ufalme ndani ya Simba SC kwani hata Wafalme...
  12. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  13. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

    Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi! Hebu wanamichezo wenzangu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC wakilikazania hili Performance ya Uwanjani itaongezeka na kuwa Washindani hasa

    Saikolojia Nimetizama takribani Mechi Tano ( 5 ) za Simba SC na nilichokiona kwa 90% kinachoisibu ni Utulivu wa Kiakili ( Saikolojia ) ya Wachezaji. Body Language ya Wachezaji wa Simba SC ukiwa ni Mngwena ( Mwamba ) wa Saikolojia utagundua kuwa Tatizo Kubwa lipo Vichwani mwao, linawauma na...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa Mrisho Ngassa ni uhuni, TFF, TPLB mnawajibika

    Nimeona mahali kwamba eti nyota wa zamani wa Yanga, Azam, Simba, Ndanda, Mbeya City na Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Khalfani Ngassa, juzi alizuiwa kuingia uwanjani kushuhudia mechi ya Ligi Kuu. Ngassa alizuiwa na walinzi wa milangoni maarufu Steward, ambao walimfanyia kitendo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

    KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika. Mapenzi haya...
  17. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasi ya wachezaji wa Yanga uwanjani bado ni kitendawili?

    Amani iwe nanyi Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa na mpira ama wasipokuwa na mpira. Nitaendelea sana kuongelea kasi/pace/speed ya wachezaji wetu...
  18. Ladder 49

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukubali Yanga imewekeza zaidi kwenye mdomo(porojo mitandaoni) kuliko kwenye mbinu uwanjani

    Wakuu habari zenu? Baada ya tambo nyingi sana na kejeli mitandaoni na mitaani. Hatimaye yanga imetolewa CAF CHAMPIONS LEAGUE. Msimu ya 2022/23 baada ya kupokea kipigo kikali kutoka kwa wasudani Al hilal cha bao moja kwa bila. Yanga Walikuwa wanaongea sana mpira wa mdomoni bila kuongelea mpira...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasaha: Simba SC tuingie uwanjani huku tukiwaheshimu wapinzani wetu Primero De Agasto

    Amani iwe nanyi. Natumaini wachezaji na viongozi wangu wa chama langu la Wekundu wa Msimbazi wapo salama kabisa. Bila ya kupepesa macho wala kung'ata maneno napenda niwaase wachezaji kuwa waingie uwanjani huku wakiwaheshimu wapinzani wetu De Agosto, wakumbuke kuwa haijaisha mpaka iishe. Jana...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili vibe la Al Hilal; Yanga wajitahidi wasizubae uwanjani

Back
Top Bottom