uwanjani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Shabiki wa 5imba mwenye moyo mgumu ndio aje uwanjani kwenye derby

    “Kwenye Derby, Mwenye moyo mgumu aje uwanjani” Ahmed Ally. Nafikiri madunduka mmemsikia msemaji wenu. Kama unahisi hujiwezi, usije kutufia uwanjani. Maisha yako ni muhimu kuliko kolozidad ya mwamedi. Mwamedi enyewe anaweza asije, sasa wewe jitoe ufahamu.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salim Abdallah 'Try Again' na Murtaza Mangungu ikiwapendezeni nawaomba msiende Uwanjani Kwa 'Mkapa Derby' hii ijayo zingatieni huu Ushauri wangu

    Kuna Wapumbavu wanataka Kuwaangushieni Zigo la Mavi ( Nnya ) pale Timu ikifungwa basi Lawama zote zielekezwe Kwenu wakati GENTAMYCINE nina uhakika kuwa Adui namba moja wa Simba SC yetu ni Mwekezaji Mohammed Ghullum Dewji ( Tajiri Kibyongo ) na kamwe wala siyo nyie na hata kama ni kweli nanyi mna...
  3. Tsh

    JamiiForums Tanzania Simba kafieni uwanjani ila Mwarabu imetosha, anapaswa afungwe

    Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana. "NENDENI KAPAMBANENI KUFA" Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake. Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wakileta siasa uwanjani, tutaombea timu za Tanzania zifungwe

    Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo. Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya Wanasiasa , hatutakubali picha ya Mbunge wa Temeke wala Diwani wa kata ya miburani. Ukiwa na kiherehere...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu kuingia Uwanjani bure ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa

    Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa. Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao. Ni hilo tu
  6. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Yanga: Sisi hatuna chuki na Mashabiki wa Mamelodi Sundowns wakitaka waje tu uwanjani kwa wingi tarehe 30th March 2024

    Msemaji mwenye wadhifa wake na kaliba ya semaji la kimataifa ndugu Ally Kamwe amesema hayo leo Ameyasema hayo kuwatoa hofu mashabiki og na wale chipolopolo wa Masandawana Ugomvi wetu na Masandawana ni ndani ya dakika tisini tu Hivyo wale mashabiki chipolopolo wa hapa bongo wanataka kwenda...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo la Hai amekimbiwa na wananchi kutohudhuria Mkutano wake wa hadhara na kupelekea Mkutano huo...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TFF Inunue Golf Cart ya Kubebea Majeruhi Kutoka Uwanjani

    Uwanja wa Mkapa ni uwanja mzuri sana wenye sifa zote za kimataifa. Kinacghotia aibu ni pale mchezaji anapoumia, basi jamaa wa first Aid humbebva kwa machela, jambo ambalo ni la kizamani sana na huweza kusababisha mchezaji kuangushwa iwapo wabebaji hawatakuwa na kimo kimoja. Imefika wakati wa...
  9. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

    Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani? Kitu ukitolea jasho na gharama...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
  11. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba acheni kwenda uwanjani mkiwa na matokeo mfukoni ya ushindi. msije mkashangazwa, Jwaneng hana cha kupoteza na wala hana presha

    Naona mashabiki wa simba wengi wana matokeo mfukoni kwamba leo wanaenda mpiga jwaneng galaxy nyingi nawaonya tu, mpira ni mchezo wenye matokeo ya kushangaza na ya kikatili mno msije mkavunja viti tu uwanja wa taifa na kutupia bus la wachezaji wenu mawe. maana mna matokeo mfukoni tayari...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoenda tu Uwanjani kutizama Mechi Yanga SC husumbuka mno Kimatokeo, ila akienda ni uhakika 100%?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Replies ( Mirejesho ) yenu kutokana na Mada husika.
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira wanawajuaje wachezaji haraka vile uwanjani

    Nina swali dogo eti Wakuu kuna hawa wanao comment mpira uwanjani hivi wanatumia mbinu gani kuweza kuwataja wachezaji fasta yaani mchezaji akipewa tu pasi tayari kashamtaja hachukui hata sekunde mbili binafsi naweza kukijua kikosi cha Man U au yanga chote lakini kikiwa kwenye uwanja...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilipoiona tu 'Signal' moja iliyofanywa Kiutaalam Uwanjani, nilijua tu kinachofuata ni Goli la Jioooooooooooniiiiiiii....

    Yaani tutimize Miaka yetu 89 Jumapili hii ya tarehe 11 Februari, 2024 halafu tuangushe tena Mbili zingine? Unadhani Wanachama na Mashabiki watatuelewa? Na siku ni mwendo tu wa kutoa / kupeana Signal Uwanjani kwa Mchezaji mwenye Mahaba nasi au Wenzake Wawili Watatu ili wafanye kila wawezalo kwa...
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Utukutu wa Messi uwanjani

    Angalia hapa jinsi Lionel Messi anavyoleta usumbufu uwanjani. Nini maoni yako?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani inanikera sana

    Katika vitu vinavyonikera na kunitia kinyaa ni tabia ya wachezaji kutema mate uwanjani,. Najua sometimes kuna sababu(jasho kudondokea mdomoni, n.k), ila lazima kuwe na hatua za ku-discourage hii tabia ili vitendo hivi vipungue viwanjani kwani inatia kinyaa sana, Wachezaji wenyewe ndio...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

    Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

    Tundu Lissu ni mmoja wa Watanzania waliofika Ivory Cost kwa gharama zao binafsi kuishangilia timu ya Taifa. Hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyetumia fedha zake binafsi kwenda kuiunga mkono timu yetu Akiwa uwanjani ameonekana akivuja jasho kali kwa presha na uchungu kwa timu yetu hadi kufikia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Pale Refa anapokuwa mchezaji wa 12 uwanjani...

    Football Agenda or Agenda in football?
Back
Top Bottom