Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini.
kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu.
Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
"Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze).
Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
Sintofahamu imeibuka juu ya uhalali wa madeni wanayodaiwa makada wa chama cha mapinduzi kupitia umoja wa vijana wa chama hicho(UVCCM) na Benki ya biashara ya DCB.
Mwishoni mwa Mwaka jana DCB Bank ilitoa orodha ya makada 150 wakidaiwa kuwa hawajalipa mikopo Yao na kuwaanika kwenye vyombo vya...
KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo wakatumikie familia zao, wavuvi wavue kwa kutumia kokoro kwa nchi 4 hadi 5 na siyo nchi 6 kama ilivyo sasa...
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni.
Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao...
Na Mwandishi wetu
Mwenyiki wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya Ndugu Patrick Mwalunenge amewasihi vijana wa UVCCM kuwa wavulivu, waadalifu na kutoharakia maisha kwani kwa kufanya hivyo ni kujipotezea mwelekeo.
Akizungumza na Jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Mbeya Mjini...
Mbunge Munira Mustafa Khatibu Akabidhi Matofali 2,000 Ujenzi Miradi ya UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Taifa Mhe. Munira Mustafa Khatibu amekabidhi Matofali 2,000 kwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndugu Ismail Ali Ussi kwaajili ya...
Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya.
wakukurupuka1
Umoja wa Vijana CCM tuanzisheni miradi mikubwa ya Kimkakati ili kutengeneza ajira Kwa wanachama wetu.
Kwa kuanzia tunaweza kuanza na,
1. Viwanda vidogo vya kutengeneza unga wa sembe/dona katika pakiti,
2. Viwanda vya juice ya matunda,
3. Karakana za ukarabati wa mitambo ya Kilimo na magari...
Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 .
Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ...
Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM?
Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe .
2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)...
Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais
Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
🔰 𝗨𝗩𝗖𝗖𝗠 𝗞𝗜𝗨𝗧
🗓️ 𝗔𝗚𝗢𝗦𝗧𝗜 31, 2023
FAHAMU KUHUSIANA NA TEUZI YA NAIBU WAZIRI MKUU KIKATIBA IMEKAAJE?
Reuben Paul Mboje, Mwanasheria-UVCCM KIUT
Tarehe 30/08/2023 watu wanashangazwa kuona barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi inayohusu uteuzi na kuhamishwa kwa mawaziri katika nafasi walizokuwa...
Tulilaani sana binadamu mwenye akili kujiita chawa kisa njaa.
Ccm huko wamesema chawa hao watafute kazi nyingine ya kufanya badala ya kuendekeza uchawa kwa rais Samia.
Hili liwe ni fundisho kubwa kwa watanzania wanajitoa akili kisa njaa imewapanda kichwani.
Pia soma
- Chawa wa Mama wacharuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.