UVCCM vs DCB Bank vururuvururu

Jun 20, 2023
55
52
Sintofahamu imeibuka juu ya uhalali wa madeni wanayodaiwa makada wa chama cha mapinduzi kupitia umoja wa vijana wa chama hicho(UVCCM) na Benki ya biashara ya DCB.

Mwishoni mwa Mwaka jana DCB Bank ilitoa orodha ya makada 150 wakidaiwa kuwa hawajalipa mikopo Yao na kuwaanika kwenye vyombo vya habari.

Hata hivyo baada ya kuanikwa huko ,baadhi ya makadq wameibuka na kueleza kuwa hawadaiwi chochote na Bank hiyo na mwenye kutaka ufafanuzi zaidi awasiliane na viongozi wa UVCCM.

"Mimi binafsi sidaiwi chochote,na kama unataka ufafanuzi waulize viongozi wangu ambao ndiyo walitudhamini kwa sisi kukatwa mishahara yetu",anasema mmoja wa makada ambao majina Yao yameanikwa wazi.

Kada huyo anasema mikopo hiyo ni ya miaka mingi na baadhi ya waliokopeahwa walishatangulia mbele za Haki.
Anasisitiza kuwa mikopo hiyo ilikuwa ya siku nyingi na walipewa kati ya sh.Milioni mbili, tatu na wengine Milioni Tano hivyo wasingeshindwa kulipa.

Tangazo lenyewe:

To all UVCCM Defaulting Customers with Loan Liability .

Following the Advertisement Placed by DCB Commercial Bank Plc Regarding all UVCCM loan beneficiaries in Newspaper published in December 2023,we publish the name and photographs of UVCCM Clients with facilities at DCB Bank who failed to make contact ,or make arrangements to pay their debts within the period allowed.

Kazi kwenu
 
Nenda wewe kijana wa kitaa una duka lako tin na lesen unavyo alafu usikilize masharti yao yalivyo ya kisenge
 
Nenda wewe kijana wa kitaa una duka lako tin na lesen unavyo alafu usikilize masharti yao yalivyo ya kisenge
Tatizo la Hii benki ni kutokana na halmashauri za mkoa wa Dar es salaam kuwa wamiliki wa hisa nyingi!! Na kama mjuavyo halmashauri zote ni za ccm hivyo ni rahisi kufanya ufisadi kama huo kwa hiyo benki! Ccm na mashiriks yake ni mapango ya walanguzi.
 
Back
Top Bottom