Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri.
Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT) kila muhula inaongezeka.
Ndugu Kawaida ametoa kauli hiyo...
UVCCM ni umoja uliowekwa na kulelewa katika misingi ya kuimba mapambio ya kusifu na kutukuza watawala hata pale pasipo stahili sifa. ACHENI.
Anaandika Almaliki Mokiwa.
Tuweke mkazo katika kuifahamisha jamii juu ya ujio wa hiki kirusi kipya kinacho itafuna nchi yetu taratibu kinachoishi chini...
Kwa tunapoelekea umoja wa vijana unaongoza vijana wa chama tawala utageuka kuwa bendera fuata upepo ..yaani ule ushauri wa dhati kwenye maslahi ya vijana nchini morali yake ipo chini sana ,majuzi zimeibuka skendo za ubadhirifu wa fedha za umma hakuna anayetoa neno.
Msingi wa umoja wa vijana...
MBUNGE DKT. RITTA KABATI AYAPA NGUVU MASHINDANO YA SOKA YA UVCCM IRINGA, AAHIDI KUANZISHA "MAMA SAMIA CUP"
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kuanzisha mashindano yatakayojulikana kwa jina la Samia Cup kuenzi kazi nzuri zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya...
Hali ya CCM JIMBO LA HAI imeanza vibaya baada ya diwani wa ccm kata ya masama kusini kunyanganywa gari lake na Mwenyekiti wa Uvccm Jimbo la Hai.
Baada ya kupokea gari limefungwa na kuwekwa Ofisi ya ccm Wilaya.
Katibu wa CCM wilaya ameulizwa na akajibu kuwa majibu anayo mbunge wa Jimbo la Hai.
Huyu Mwenyekiti wa UVCCM NI kweli alijenga hoja akachaguliwa na wapiga Kura au alipitoshwa? Nimemsikiliza anazungumza jukwaani Dodoma, nikamsikiliza anaanza kusema anataka amfundishe Dr. Slaa kujenga hoja, najiuliza MTU anayetembea ameandika vitu vyakusema kwenye hotuba yake anaweza mfundisha...
Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia.
Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja.
"Zama za...
Na Bwanku Bwanku.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesifu na kupongeza hatua madhubuti alizoanza kuzichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuliweka Taifa katika hali ya amani, umoja na mshikamano kupitia kuongoza maridhiano ya kisiasa...
Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM.
Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini.
Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
Habari,
Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa.
Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
Angalia CCM walichofanya;
1. Wanafunzi wa vyuo karibia wote wanapewa kadi za UVCCM kwahiyo ni wanaccm
2. Machinga na Wafanyabiashara ndogo ndogo kwa asilimia zaidi ya 90 wanapaita mikopo ya vikundi kupitia Council na kigezo kimojawapo cha kudhaminika ni kadi ya CCM
3. Bodaboda Vijiwe vyote...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo.
Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
Kwa jinsi uchaguzi wa CCM ulivyofanyika kwenye mikoa yote Tanzania watanzania tuache unafiki uvccm na CCM kwa ujumla Kuna udini.
Angalia viongozi waliochaguliwa kuanzia halimashauri kuu, Uvccm mpaka ngazi ya kata ni udini mtupu.
Kama huu uchaguzi umefanyika kumridhisha Rais basi watu...
Mohamed Kawaida ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa ambapo Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa imechukuliwa na Bi Rehema Sombi Omary
MATOKEO YA UCHAGUZI UVCCM
==========================
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinana amewataka UVCCM wajijengee uwezo wa kuongea Majukwaani
Hii itasaidia wananchi kuelewa ujumbe wanaopewa nyakati za kuielezea Ilani ya CCM na utekelezaji wake
Source TBC
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutumia nafasi zao kubishana kwa hoja na kuendelea kudumisha amani ,umoja na mshikamano hali itakayosaidia kuwalinda Viongozi wa taifa .
Dkt.Tulia ameyasema hayo Jijini Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.