utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Tunarudi kwenye enzi za mabosi wa Mashirika ya Umma kujaza watu wa makabila yao. Tiketi aliyotoa Rais inaenda kupiga mchujo wa kikabila kwenye ajira

    Niseme tu Mama ameshauriwa vibaya katika hili la leo kuruhusu mabosi wa kila shirika kuajiri badala ya kuwa na utaratibu uliopo wa chombo kimoja kusimamia ajira za mashirika yote. Ikumbukwe wazo la chombo kimoja kusimamia ajira lilikuja baada ya upendeleo uliokuwepo wa wazi wazi katika ajira...
  2. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Mliopangiwa kazi Serikalini kupitia Mchakato wa 'Database' ya Utumishi, njooni mtoe Experience yenu

    Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya security na vitu kama hivyo. Uchache wa nafasi hufanya wengi wafunge safari hivyo hivyo kwenda Dodoma...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  4. 2025DG

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwajadili waliokataa Ukuu wa Wilaya

    Wateule wa nafasi za Ukuu wa Wilaya ambao inasemekana wamekataa uteuzi huo watatakiwa kutoa maelezo ya kwa nini wameshindwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya uapisho. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa?

    Habari wapendwa, Jamani kwa wale watumishi wa Serikali, hivi mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa. Maana mimi binafsi nimeandika barua toka mwezi wa 12 mwaka huu 2023, mpaka sasa majibu sijapata na nikipiga namba za call center hazipatikani. Na mbaya zaidi...
  6. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

    Habari wakuu, Naomba kufahamu kwa nafasi za kazi ambapo kada tofauti mnaitwa kuomba yaani kama field za ( finance, planning, economic, engineering) mnaomba kazi moja. Maswali ya interview huwa yanatungwa kwa namna ipi?
  7. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wazee hizi MDA na LGA ndio vitu gani haswa kwenye maswala ya utumishi?

    Huko watakaoenda kufanya kazi maswala ya mipunga yamekaaje maana shortlist kwa ajili ya interview washatoa. Kwa ambao mna ufahamu ama uelewa wa MDA na LGA tuwekane sawa.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  9. Jay One

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba utupie jicho kali Utumishi

    Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa. Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi wameanza kuachia written interview results

    Rasha rasha imeanza Bado mvua yenyewe ( tax na customs). All the best mlofanya vizuri
  11. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

    wakuu kama mnavyofahamu unapoitwa katika usahili utumishi matokeo hutolewa na kila mmoja huwa ana mbinu yake ya kuyapokea sasa leo hii. Hebu tupeane mbinu ya kuyapokea matokeo maana kama mnavyojua matokeo yanaweza kukuvunja moyo au kukupa moyo wa kutokukata tamaa.
  12. Ngomile

    JamiiForums Tanzania Vibali vya kurejea utumishi wa umma

    Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya kupata kazi mpya, kwa kuwa niliwahi kuwa mtumishi hapo kabla. Sasa tangu nimeombewsa kibali ni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma

    Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa. 1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali. Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi kwa ajili ya kuendesha mchakato wa Ajira kwa niaba ya Waajiri. Vibali...
  14. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

    Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄 Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu! Je, mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea? Je, Jenista haona kuwa watu wanateseka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za Utumishi ziweke 'standard marks' kwenye usaili wa kuandika

    Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku nitawafata katika page zao za kijamii pia ila kiukweli wanatuumiza sana sisi watu wa chini. OK ipo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi hapa mmeyumba ingawa ni mwanzo mzuri

    Nimeona tangazo la kuitwa usaili TRA waombaji watafanyia Written Interview kikanda katika mikoa ya Dar es salaam, Dodoma, Mbeya na Mwanza. Ni mwanzo mzuri katika utekelezaji wa agizo la serikali ili kuwapunguzia gharama waombaji wa hizo nafasi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwaajiri ya...
  17. Amina68

    JamiiForums Tanzania Ukienda katika usaili wa Utumishi hakikisha, una kitambulisho chochote, nakala au namba ya NIDA hazifanyizi kazi

    Kama Unaenda usaili wa utumishi hakikisha,una ID YOYOTE,COPY AU NAMBA YA NIDA HAZIFANYZI KAZI,UTAPOTEZA PESA NA MUDA WAKO BURE
  18. Cute sall

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPA

    POST SECURITY ASSISTANT – 5 POST POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION LEGAL EMPLOYER Tanzania Ports Authority (TPA) APPLICATION TIMELINE: 2022-03-29 2022-04-11 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.To assist in preparation of roster and supervises Security guards for general security...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma na Majukumu yake

    Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 29(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (iliyorejewa 2019) kwa ajili ya kushughulikia mchakato wa Ajira katika Utumishi wa Umma na kuanzishwa rasmi tarehe 1 Machi, 2010. Majukumu ya...
  20. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Watu walio kwenye utumishi wa umma karibu wote ni vilaza ukitoa wahadhiri wa vyuo vikuu

    Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented. Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote...
Back
Top Bottom