Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

Just Distinctions

JF-Expert Member
May 5, 2016
2,704
5,339
Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k

Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote changamoto hazikosekani iwe ni figisu,upendeleo, utaratibu, mazoea na kadhalika

Kulingana na uzoefu wako, Je unamshauri nini mtumishi huyu mpya wa umma ili aweze kufanya kazi zake vyema na aweze kufanikiwa pamoja na yote ambayo kwa namna moja au nyingine huwa ni kawaida kutokea na yanaweza kumkwamisha asipochukua tahadhari mapema?
 
1. Asikope
2. Asikope
3.
4
5. Asikope

Bali kidogo atakachokipata ndio atenge fungu lake kwa ajili ya uwekezaji.
Mfano... Kila mwezi anaweza kununua tu hata kuku 1 wa mayai, wakitoka wengi anauza na kununua mbuzi, mbuzi+++=ng'ombe.
Au Kama ana mshahara mkubwa basi kule Dar Kuna makampuni yanahusika na kuuza viwanja ambavyo kila mwezi unalipa kidogo kidogo.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kwa mawazo yako ktk maisha utakuwa huna exposure. Hivi kukopa ni jambo baya au ubaya ni matumizi ya mkopo?

Hivi nikikopa nikatwe 400k kwa mwezi na nikatumia hizo fedha kuzalisha faida ya 1.5m monthly ni jambo baya?

Tatizo la watu wote wenye fikra zako mlikopa fedha mkanunua viwanja au kujengea nyumba. Kama unakopa kwa misingi hiyo lazima mikopo iwe changamoto kwako.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
1. Asikope
2. Asikope
3.
4
5. Asikope

Bali kidogo atakachokipata ndio atenge fungu lake kwa ajili ya uwekezaji.
Mfano... Kila mwezi anaweza kununua tu hata kuku 1 wa mayai, wakitoka wengi anauza na kununua mbuzi, mbuzi+++=ng'ombe.
Au Kama ana mshahara mkubwa basi kule Dar Kuna makampuni yanahusika na kuuza viwanja ambavyo kila mwezi unalipa kidogo kidogo.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Shukrani sana kwa ushauri makini
 
Kukopa ni jambo baya??

Mshauri Namna bora ya kutumia fulsa za mkopo na sio kumuaminisha kuwa ni jambo baya

Mikopo sio mibaya shida ni matumizi ya Mikopo yetundio tatizo lilipo

Unapo kutana na fursa yenye kuku taka kuweka million moja na Ina expectations ya faida kwann usikope ukawekeza kuliko kusubiri udundulize kwa miez mi tatu kupata iyo pesa? Kwa sababu fulsa haisubiri mtu
 
Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k

Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote changamoto hazikosekani iwe ni figisu,upendeleo, utaratibu, mazoea na kadhalika

Kulingana na uzoefu wako, Je unamshauri nini mtumishi huyu mpya wa umma ili aweze kufanya kazi zake vyema na aweze kufanikiwa pamoja na yote ambayo kwa namna moja au nyingine huwa ni kawaida kutokea na yanaweza kumkwamisha asipochukua tahadhari mapema?
Usikope ili kujenga nyumba au kununua kiwanja. Kopa tu ikiwa una biashara inayorun na unaona inafaida! Na ukikopa kwa ajili ya biashara kopa mkopo wa muda mfupi.
 
Kukopa ni jambo baya??

Mshauri Namna bora ya kutumia fulsa za mkopo na sio kumuaminisha kuwa ni jambo baya

Mikopo sio mibaya shida ni matumizi ya Mikopo yetundio tatizo lilipo

Unapo kutana na fursa yenye kuku taka kuweka million moja na Ina expectations ya faida kwann usikope ukawekeza kuliko kusubiri udundulize kwa miez mi tatu kupata iyo pesa? Kwa sababu fulsa haisubiri mtu
Shukrani kwa ushauri makini, lakini kwanini mikopo mingi huwa haitimizi lengo husika, je ni huwa midogo au mipango tu?
 
Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k

Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote changamoto hazikosekani iwe ni figisu,upendeleo, utaratibu, mazoea na kadhalika

Kulingana na uzoefu wako, Je unamshauri nini mtumishi huyu mpya wa umma ili aweze kufanya kazi zake vyema na aweze kufanikiwa pamoja na yote ambayo kwa namna moja au nyingine huwa ni kawaida kutokea na yanaweza kumkwamisha asipochukua tahadhari mapema?
Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo
 
Back
Top Bottom