Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,206
- 12,907
Binafsi sijawahi kusikia mtumishi wa TISS anakuwa maarufu zaidi wale walishika Ukurugenzi wa hiyo Idara! ila kuna mtu mmoja kila anapotajwa basi TISS lazima itajwe! Mbona umnaitumia idara yetu ya usalama wa Taifa kwa manufaa yenu binafsi? Imekuwa too- much sasa kila anapotajwa Membe na TISS lazima ihusishwe as if yeye ndiye Raia wa Kwanza nchini Tanzania kuwa mwajiliwa wa TISS au wa mwisho!
Sitaki kuamini kuwa yeye alikuwa Waziri wa kwanza au mwanasiasa wa kwanza kuwa mtumishi wa idara ya usalama wa taifa (TISS) na wala sitaki kuamini kuwa hakuna watumishi wa TISS waliostafu nje ya Marehemu Membe! ila sasa hii kuwa Usalama wa Taifa haikupi ticket yawewe kufanya utakavyo kwa mgongo wa TISS wala haikupi ticket yawewe kila unapopata nafasi ya juu kujitutumia na Utiss wako.