Usaili wa WCF Utumishi mnatuonea

Aqua Man

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
336
1,142
Sina mengi ila Utumishi kwenye hii Interview ya Compliance Officer mmetuonea. Pepa imepigika Jumamosi, leo matokeo, mchanganuo wa marks hueleweki, watu 33 tu ndio wameitwa oral.

Mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi!

IMG_5014.png
 
Sina mengi ila utumishi kwny hii interview ya compliance officer mmetuonea.. pepa imepigika jumamosi.. leo matokeo.. mchanganuo wa marks hueleweki.. watu 33 tu ndio wameitwa oral.. mnatufanya tujiulize uwezo wetu wa kufikiri kama ni mdogo kiasi hiko au vipi.
Ila nasikia pepa lilikuwa gumu.
 
Inakatisha moyo kaka.. unatumia cost halaf wanakuja na story za ajab
Kaka dah imetukuta na sisi huku kwenye korowassa wameweka maarks za ajabu ajabu unatokakwenye pepa umelipiga kama lote wanaweka marks 40 eti hahahahaha na majibu sahihi hata ukireview kwenye notes sasa mpka unasema.naenda dodoma kufanya mitihani ya utumishi yanini sasa kama unafaulu na wanakuwekea marks ndogo ili ufeli wachakue idadi yao wanayotaka
 
Ukienda kwenye usaili wa utumishi, inabidi ujiande kwa lolote unaweza ukakuta paper umelifanya vyema ila issue kwenye matokeo apo ndo huwa kuna maajabu mengi.

Kuna wakati unaweza sema hawajamaa huwa laba sijui wanafanyaga tu assumptions maana haielewek yaani
 
Ukishajiingiza kwenye hiki chama Cha Utumishi au ajiraportal KUBALI kuonewa tu.
Hawanaga huruma,
Utaskia bwana Mlosya kutoka Dodoma anasema nikisema Kalam chini sihitaji nione mtu akiandika la sivyo ajira utazisikia kwenye Bombaaaa!!!!
Nlijichekea tu nikasema Mlosya Leo ndio huyu WA kututambia namna hii.
Mara ooh mara ooh we tulikwambia usiingie na saa we umeingia nayo unataka nkuingize kwenye system ukose ajira maisha yako yote.

Pole sana mkuu.
 
Yah, sana tu ndo maana kuna wakati mpaka mtu unahisi laba umerogwa au una nuksi utashaanga tu vimemarks vya ajabu yaani
Yani acha kabisa.. juzi ndugai alichokua anakisema ndio wamekifanya.. nahis wcf walikua na watu zao.. the same thing naskia imetokea kwa hawa wanasheria wa serikali.. madogo waliotoka intake ya kwanza waliambiwa watachukuliwa na wengi wameenda.. sasa transparency iko wapi hapo.. wanashusha hata ile kujiamin mwisho unaanza kuhisi umelogwa
 
Yani acha kabisa.. juzi ndugai alichokua anakisema ndio wamekifanya.. nahis wcf walikua na watu zao.. the same thing naskia imetokea kwa hawa wanasheria wa serikali.. madogo waliotoka intake ya kwanza waliambiwa watachukuliwa na wengi wameenda.. sasa transparency iko wapi hapo.. wanashusha hata ile kujiamin mwisho unaanza kuhisi umelogwa
Kabisa cha umuhimu tu ni kuto kukata tamaa tu, hyo ndo inatosha
 
Back
Top Bottom