utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM haina Shaka na Utendaji wa Waziri Mkuu Majaliwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakina shaka na utendaji kazi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwakuwa ni kiongozi Mchapakazi na Mtiifu. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Paul Makonda amesema hayo leo Alhamisi, November 02, 2023 alipokwenda ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni...
  4. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Hassan Simba: Wizara ya Mambo ya Afrika Mashariki ijitegemee ili kukidhi mahitaji ya sasa ya Jumuiya hii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Kamati Kutathmini Ufanisi na utendaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo tarehe 12 Oktoba, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/VsXnOx4lr3U?si=uW9N1rjK-vSrKI8l...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

    Habari wakuu, Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI. Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Utendaji mbovu wa BRELA unaathiri uchumi wa nchi. Rais Samia tafadhali shughulika na taasisi hii

    Taasisi ya kusajili makampuni ya BRELA inafanya kazi bila weledi. Rushwa, uzembe na dharau kwa wateja vimetawala. Tafadhali mheshimiwa rais shughulika na watendaji wabovu BRELA.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NHIF yazidi kupata hasara, PIC yaonesha kutoridhishwa na utendaji wake

    KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa ukusanyaji wa mapato na matumizi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) . “Imekuwa ikifahamika kwamba mfuko huu umekuwa ukipata nakisi mwaka hadi mwaka 2019/20 walipata nakisi ya bilioni 49...
  14. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Sijaona kama Samia kwa utendaji

    Katika utawala wake ni wakati wakulima wengi tunanufaika na sera zake za kufungua nchi, mbaazi kutoka kuuzwa tshs 150 Hadi mnada wa juzi chama kikuu Cha TENECU Newala bei ya juu 2160 na ya chini 2050. Ufuta ndio umevunja rekodi, muhogo tulikuwa tunalisha nguruwe tu Leo gunia ni 90,000, Mahindi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora

    Matatizo ya Kisaikolojia Yanavyodumaza Utendaji na Kuathiri Uwajibikaji na Utawala Bora Utangulizi Matatizo ya kisaikolojia ni changamoto ambazo zinaweza kuathiri utendaji na maamuzi ya watu katika maeneo mbalimbali ya maisha yao. Katika mazingira ya kazi na utawala, matatizo haya yanaweza...
  17. Mchapakazihalisi

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya TEHAMA yawe Kipaumbele cha Utendaji ndani ya Shirika la Posta

    ♦️ Akabidhi Vyeti na Tuzo za Pongezi kwa wafanyakazi wa Shirika la Posta walioshiriki kufanikisha Tanzania kupata nafasi ya Ujumbe kwenye Mabaraza ya Umoja wa Posta Duniani (CA &POC). Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni Uvivu au kutokuwa na weledi kwa watumishi wa umma. Utendaji kazi wao ni zaidi ya ufanisi dhoofu

    Kufatilia huduma katika mashirika ya Umma kunakera sana. Kuna ujinga na kujisahau sana kwa watumishi sijui shida ni nini? Kwa mfano Taasisi nyingi zina namba za simu za huduma kwa wateja ila ukipiga hazipokelewi ama hazipatikani kabisa, tatizo ambalo ungetakiwa ulisolve ukiwa kigoma tena kwa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Je utendaji kazi wao unafanana na mikoa waliyopangiwa!!!!

    1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa. 2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay. 3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo. 4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe. 5. Kamanda...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
Back
Top Bottom