Naomba anaejua kwanini Procurement imetengwa

chingwanji.

Member
Apr 22, 2015
12
13
Habari wakuu,

Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI.

Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama, Uhasibu, Sheria, HR, BA, nk.

Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili. Please anaejuwa 😭😭😭
 
Kwanza tupambane kuitoa CCM madaraka. Sera safi zitakuwezesha ujiajiri na kuajiriwa.
 
Unaweza kusoma theory, practices, marketing principles na sheria ya manunuzi ya ndani na nje ya nchi kwa siku Saba Kama Kishimba alivuopendekeza?

Nani hawezi kununua.

Mahitaji ya wataalamu wa manunuzi ni madogo sana.

Taasisi kubwa yenye wafanyakazi zaidi elfu kumi kama jeshi la polisi.. unakuta manunuzi yanafanywa na timu ya watu watano tu.

Hapo nafasi za waliosomea manunuzi lazima ziwe chache
 
Swali sio nani awezi kununua?

Jibu ni je? Yakifanyika manunuzi holela nani wa kujibia?
 
Swali sio nani awezi kununua??
Jibu ni je? Yakifanyika manunuzi holela nani wa kujibia???

Manunuzi holela kwa nani?

Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement?

Fani zingine wanaajiri kila mwaka, ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
 
IMG-20231013-WA0004.jpg
 
Manunuzi holela kwa nani ?

Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?

Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri aaji
Manunuzi holela kwa nani ?

Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?

Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
Kumbe hujuwi tofauti ya public procurement na private procurement 😁😁😁😁😁
 
Kumbe hujuwi tofauti ya public procurement na private procurement 😁😁😁😁😁

Public procurement ndio nini.. niambie ni sheria ya manunuzi gani imetumika kununua Dreamliner - ndege za Air Tanzania ?

Ama afisa manunuzi gani wamepitisha tenda ya bwawa la Stieglers gorge?

Hata huko serikalini procurement haina umuhimu nowdays.
 
Public procurement ndio nini.. niambie ni sheria ya manunuzi gani imetumika kununua Dreamliner - ndege za Air Tanzania ?

Ama afisa manunuzi gani wamepitisha tenda ya bwawa la Stieglers gorge?

Hata huko serikalini procurement haina umuhimu nowd

Public procurement ndio nini.. niambie ni sheria ya manunuzi gani imetumika kununua Dreamliner - ndege za Air Tanzania ?

Ama afisa manunuzi gani wamepitisha tenda ya bwawa la Stieglers gorge?

Hata huko serikalini procurement haina umuhimu nowdays.
Yani ndugu kujifanya unajuwa sana kumbe hamna kitu sheria kupindishwa ni kukosa uadilifu kwa viongozi ila haimaanishi procu haina maana serikalini..Why juzi tu wameanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa NeST....

Oooh vodacom hakuna watu wa manunuzi Fuatilia utajua SCM ni akina nani😆😆😆😆
Screenshot_20231014-042433.jpg
 
Manunuzi holela kwa nani ?

Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?

Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
Hii kitu uliandika kwa kukurupuka mzee sio kila kitu unajuwa ...23 august Tigo wametoka kutangaza nafasi ya Procurement (SCM)
Mda mwingine mfanyage na reseach sio kukurupuka tu kama hujuwi waache wajibu wanaojuwa.....
 
Acha kuhamisha mada kwa ujanja wa strawman fallacy

Kasome tena post ya hoja za kuhusu vodacom.

Kisha ndio ujibu.

Ndio maana hupati kazi sababu haupo makini na attention to details
 
Habari wakuu...Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi..Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana,Kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI..Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama ..Uhasibu .Sheria..HR..BA..Nk
Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili....Please anaejuwa 😭😭😭nafa

Habari wakuu...Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi..Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana,Kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI..Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama ..Uhasibu .Sheria..HR..BA..Nk
Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili....Please anaejuwa 😭😭😭
Haijatengwa sema tu nafasi zinazo toka ni chache, but nakushauri urudi chuo ukamalizie NTA LEVEL 6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom