utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania England kuingilia utendaji wa timu ya Chelsea sio kosa kwa kanuni za FIFA?

    Wajuzi tuambieni kwanini shughuli za mchezo wa mpira England umeingiliwa na wanasiasa kutokana na vita ya Russia na Ukraine?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wahenga tu: Katika awamu 5 za serikali ya JMT zilizopita ipi unaikubali zaidi kwa Utendaji uliotukuka?

    Tujikumbushe. 1. Awamu ya kwanza Rais Mwalimu Nyerere RIP 2. Awamu ya pili Rais mzee Mwinyi 3.Awamu ya tatu Rais mzee Mkapa RIP 4. Awamu ya nne Rais mzee Kikwete 5. Awamu ya tano Rais Magufuli RIP Maendeleo hayana vyama!
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  4. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Makalla: Asilimia 99.99 ya Malalamiko yaliyotolewa hawahusu utendaji wa Polisi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema asilimia 99.99 ya malalamiko yaliyowasilishwa kwake katika kipindi cha kusikiliza kero za wananchi jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita hayakuwataja Polisi kama watu wanaosababisha kero jijini Dar es Sallam na hivyo kumshukuru Afande IGP...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa Wizara

    MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa sana la kujifunza na kujivunia kwa Rais wetu Mpendwa @SuluhuSamia jinsi anavyoongoza na alivyowapa...
  6. GOAT25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili na tatu, combined

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee! Kwa jinsi awamu ya sita toka imeingia madarakani takribani miezi nane sasa. Rais SSH amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili, na tatu, combined. RUKHSA (awamu ya pili) Rais SSH amekuwa akisisitiza Mara nyingi kuifungua nchi...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji kazi wa Rais Samia, PM Majaliwa na VP Mpango, huwezi kuamini awamu ya tano walikuwa wamoja na Hayati Magufuli

    Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao. Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

    Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

    HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA. Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua...
  10. ARGAN MARA

    JamiiForums Tanzania Costumer service, accountability and responsibilities vyaanza kudorora ofisi za umma

    Ndugu zangu habari za muda huu, nimatumaini yangu sote tunaitekeleza slogan ya mkuu wa kaya. Twende moja kwa moja kwenye mada kipindi cha awamu Serikali iliyopita tuliona bwana yule alivyojitaidi kurudisha nidhimu kwa watumishi wa Umma kwa kutekeleza majukumu yao kama inavyotakiwa. Watumishi...
  11. GEM mama

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI ZA UTENDAJI

    Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi. Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA. Asante
  12. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta ofisi ya kata nimeelewa kwanini wananchi wa Msumi walijichukulia Sheria mikononi

    Inaudhi, inaumiza nimedunduliza nimenunua eneo ambapo nimepitia kwa mamlaka zote za Serikali ya mtaa/kijiji na pia ofisi ya kata cha kusikitisha wanatokea watu wawili au watatu wenye nyaraka za manunuzi ambazo pia zimepewa Baraka na mamlaka hizi, namtafuta mtendaji wa kata haonekani ofisini wiki...
  13. idoyo

    JamiiForums Tanzania Tuboreshe Utendaji wa Serikali za Mitaa ili kuleta Tija

    Kumekuwa na tabia ya kuunda mikoa mipya (na hata wilaya) kwa kigezo cha kusogeza huduma kwa wananchi. Tunafanya hivi kwa sababu hatuzingatii utendaji wa tamisemi. Tamisemi zilianzishwa kwa makusudi ili kusogeza huduma karibu zaidi lakini hazifanyi kazi ipasavyo. Tuboreshe muundo kama ifuatavyo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ajira za utendaji wa mtaa/vijiji, ni kweli Tanzania inathamini elimu?

    Nimefuatilia sana posti za ajira za utendaji wa mtaa au vijiji sijawahi kuona wakiunganisha kigezo cha shahada kwenye sifa za kazi hiyo na nyingine 50 zimetangazwa wilaya ya Ilemela wanahitaji astashahada tu Naona kusoma sana sasa hakuna maana Tanzania enzi za mwl Nyerere alithamini sana wasomi...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Utendaji wa Shughuli za Mahakama Unatungwa na Nani na Kwanini?

    Ni swali ambalo limetokana na yanayoendelea katika sakata la Mbowe. Wabunge wanarushwa mubashara. Tunasikia mawazo yao, malumbano yao, na hata ufyatu wao. Tunasikia wakishangilia na wakizodoa; tunawasikia wakicheka na kuchekana au kuchekeana. Vyombo vya habari vya taifa na vya binafsi vinapewa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

    Mkuu wa jeshi la polisi ndio msimamzi mkuu wa shughuli za Jeshi hilo kwa kila namna, kuanzia utendaji, nidhamu na hata kufanya kazi kwa misingi ya haki. Kila kona sasa hivi inaonekana wananchi hawana imani na IGP Sirro. Je, ameshindwa kusimamia polisi kutenda haki? Huyu mama Suzan Kaganda...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kasi ya utendaji wa Kassim Majaliwa imepungua sana, sio kama wakati wa Hayati Dkt. Magufuli

    Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka. Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo. Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

    Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma walioonewa na waajiri enzi zile! Kumekuwa na biasness kubwa...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Elimu kuhusu utendaji wa NACTE Kwako waziri wa elimu, Utendaji wa NACTE haulizishi kabisa. Watoto wetu wanafuatilia AVN ili waweze kuapply vyuo vikuu hawapewi. Kama watendaji wa NACTE wanakuwa wazembe kiasi hicho kwanini msibadirishe na kuweka watu wengine...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mapokezi chanjo ya Corona: Ni wakati sasa kutazama utendaji wa Waziri wa Afya

    Nimeliona Bango la mapokezi ya chanjo ya Corona uwanja wa ndege wa J.K Nyerere. Kwanza nilicheka sana baadaye nilipoanza kufikiria juhudi za kupambana na Ugonjwa huu tangu wakati wa mashine za kupigia nyungu na zilivyozinduliwa kwa Mbwewe. Sasa najiuliza hii chanjo imeshaanza kutumika hapa...
Back
Top Bottom