Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 552
- 1,060
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo.
Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa.
Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa napata changamoto ya watu kutaka kujua bei ya bidhaa flani na picha ya bidhaa husika.Sasa hili swala la kutafuta bei ya bidhaa na picha kila siku limekuwa changamoto sana.
Sasa juzi kati hapa nilipata mteja mmlawi anahitaji bidhaa kariakoo ila changamoto ikawa anataka picha za bidhaa mbali mbali aangalie then achague halafu mimi nikalipie nimsafirishie.
Sasa kuna mda inakuwa ni changamoto kupata picha za bidhaa ukizingatia wauzaji wengi wa kariakoo wapo bize na hawapendi usumbufu wa kuomba omba picha.
Sasa katika kuwaza nikagundua kungekuwa na platform like alibaba.com ambapo wauzaji wa kariakoo wanalist bidhaa zao na bei zao za jumla na rejareja ambapo mtu yoyote kutoka sehemu yoyote anaweza akaingia na kuchagua bidhaa then sisi wasafirishaji tukafika duka husika na kumsafirishia bidhaa zake.
Kila la kheri