utendaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hongera Trump kwa kutia saini Amri ya Utendaji inayoidhinisha kufukuzwa kwa watu wasio raia wa US wanaounga mkono mashirika ya kigaidi kama vile Hamas

    Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

    Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ni Kichekesho Kutumia Sifa za Utendaji wa Rais Kumnadi Mgombea Uenyekiti wa Mtaa

    Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku kwetu, kumbe ndio style yao wote nchi nzima wakiongozwa na Makalla kila aendapo. Utendaji wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilie utendaji Idara ya Ustawi wa Jamii - Hospitali ya Muhimbili, ngazi ya juu hakuna Uwajibikaji

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza JamiiForums kwa kazi nzuri mnayofanya ya kubadilisha mwenendo wa nchi yetu, kazi kubwa inafanyika na mabadiliko yanaonekana, pongezi kwa hilo. Hivi karibuni niliona habari ya MOI kuhusu yule mgonjwa ambaye alikosa huduma kutokana na uongozi kumkazia kuhusu suala la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Utendaji wa Mbunge Kimei wamng'oa katibu wa ACT Wazalendo Jimbo la Vunjo

    Kasi ya utendaji ya Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei katika utekelezaji wa majukumu yake unatajwa kuwavutia wengi akiwemo aliyekua mgombea ubunge Jimbo la Vunjo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambaye pia ni Katibu wa ACT WAZALENDO katika Jimbo hilo Ndg Idd Mfinanga...
  6. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Makamishna wa Mamlaka za Kodi Afrika Mashariki wazindua ripoti ya utendaji

    Katika siku ya pili ya mkutano #EARACGs, mjini Nairobi, Kamishna Mkuu TRA Bw. Yusuph Mwenda alishiriki pamoja na Makamishna Wakuu wenzake katika uzinduzi wa ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Mapato za Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na Ripoti ya...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana apongeza utendaji kazi TANAPA, asisitiza uadilifu kufikia malengo

    ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii. Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
  10. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasilisha pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson kwa utendaji wake katika Bunge la IPU

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, imempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, kwa Uongozi wake mahiri na ujasiri aliouonesha katika tukio lililotokea...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kenneth Nollo: Maslahi ya askari polisi yaboreshwe ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Mpango wa Taifa 2025/2026

    Serikali imeshauriwa kuboresha mazingira na maslahi ya askari polisi ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi wa polisi katika mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa leo Jumatano Novemba 6, 2024 na Mbunge wa Bahi (CCM), Kenneth Nollo wakati akichangia katika mpango huo...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Basata mnafeli kwenye utendaji wenu wa kazi.

    Hawa viongozi wa Bar-Sata ni wa kukemewa na kila mtanzania mwenye akili timamu. Wamefungia wimbo wa Ney wa mitego kwa sababu ameimba "wanaokuja kututeka wanakuja kama Polisi" yaani kwa utashi wao wanadai na wanasema ni maneno yenye uchochezi. Lakini upande wa Polisi wenyewe wanakiri wazi kwamba...
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnaonaje utendaji wa DP World?

    Watanzania hususa ni watumiaji wa bandari ya Dar es Salaam hamjambo? Mmeanza kuona faida za uwepo wa DP World sio? Watumiaji wa kawaida wa bidhaa zinazoingizwa nchini vipi si mnaona wenyewe bei zilivyoshuka? By Boss la DP World aka boss la makobazi.
  15. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Huwezi pata watendaji wazuri ikiwa utaongoza kwa umungu mtu!

    Hiyi nchi sio kwamba viongozi walio chini ya uongozi mkuu hawawezi wajibika hapana isipokuwa mamlaka aliyopewa Raisi ni makubwa kuliko uhalisia au uwezo halisi. Mimi naamini tuna viongozi bora sana na wenye nia ya kujituma ila kwakuwa mkuu ndio mwenye mamlaka ya kila kitu kitachofuata utafanya...
  16. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu aingilie kati utendaji mbovu wa taasisi ya elimu TET/ TIE

    Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA. Jambo la kusikitisha saana , kumekuwa na madudu mengi saana katika taasisi hii muhimu katika Elimu yetu. Ni jukumu kuu la...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge maji na mazingira yaridhishwa na utendaji wa mamlaka za maji za Majiji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiambatana na Menejimenti ya Wizara ya Maji na Wakurugenzi wa amefika mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira kuwasilisha taarifa ya Hali ya huduma ya Maji katika Majiji nchini ambayo ni DAR ES SALAAM (DAWASA), MWANZA (MWAUWASA), TANGA (TANGAUWASA)...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Train ya SGR uboreshwe

    Wakuu tupo Morogoro na train yetu pendwa ya SGR ila ni mateso. Kabla ya kufika Morogoro tulisimama kama saa zima kwa kisingizio kuwa wanabadili njia. Tumefika Morogoro mpaka sasa tuna dakika 20 bila kuambiwa chochote. Immediate action zinatakiwa kuchuliwa ili kunusuru ufanisi wa train yetu...
  20. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wenzetu wakifanya upasuaji kwa njia za roboti sisi kwetu bado wahudumu wa afya, maarifa na utendaji viko chini (Tanzania tuitakayo)

    Na Da Vinci XV Chanzo: Forbes Wasalaam Wahenga walisema wakati ni ukuta. Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
Back
Top Bottom