Tanzania Tujiandae na Utawala wa Joe Biden (Democrat)

Status
Not open for further replies.

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na viongozi sao.

Muda umefika. Tujiandae kwa rungu la Joe Biden na Democatic party. Tanzania tumenyooshewa idole karibia na kila mshirika wa maendeleo kutokana na shutuma kutokana na ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja uchaguzi wa demokeasia, na bila shaka 2021, Tanzania itapitia wakati mgumu hasa viongozi wetu wakiwekewa vikwazo vya kila aina. Je Tumejiandaa kukabiliana na shinikizo za kimataifa?
 
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa CCM
 
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa CCM.
Hayo maneno kamezeshwa na mamlaka maana alijiona yuko juu ya katiba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom