utawala

  1. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Kwa Utawala huu wa Spika Ndugai, Bunge linazidi kupoteza mwelekeo

    Moja kwa moja kwene hoja. Kile kinachoendelea Bungeni kwa sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli ni aibu tupu. Utawala(siyo Uongozi) wa Spika Ndugai unazidi kuliaibisha na kushusha hadhi ya Bunge la JMT. Nitaeleza: Kile ambacho Watz walikuwa wanakiona wakti wa uhai wa Hayati kwamba alikuwa...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tanzania inashindwa kuendelea mbele kutokana na kutokuwa na muendelezo wa utawala mmoja kwenda mwingine

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Josephat Gwajima akitoa mchango kuhusu hotuba iliyotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi nyingi za Kiafrika zimekuwa haziendelei kwa kasi ya maendeleo kutokana na kushindwa kutumia rasimali kwani inaendana na 'manpower'. Pia ameeleza kuwa Tanzania...
  3. warumi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Utawala wa Hayati Rais Magufuli na Rais Samia

    Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mafunzo makuu matano kutoka utawala wa Hayati Magufuli

    1. Katiba imara na taasisi imara peke yake ndio zinaweza kuwa ukuta na vizingiti kati ya demokrasia na uimla. Sio nia njema, mazoea, mila wala tamaduni za kisiasa zinazoweza kuhakikisha uhuru stahiki wa wananchi. 2. Sio wafanyabiashara tu ambao ni wasaka fursa bali asilimia 90 ya binadamu wote...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Prof Assad: Utawala wa Magufuli haukuwa na Nia njema na taifa letu

    Kama alivyo nukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari.
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ina maana ripoti zilizopita za CAG zilizokuwa zinawasilishwa ndani ya utawala Wa awamu ya 5 zilikuwa zinafanyiwa "editing"?

    Inasikitisha sana tena inahuzunisha kuona ripoti ya CAG ya safari hii baada ya mwendazake kuzikwa, ikiibua madudu mengi mno, tofauti na ripoti zilizokuwa zikiwakilishwa hapo nyuma wakati wa utawala huu wa awamu ya 5 ambazo zilikuwa zinampamba sana mwendazake na kueleza Taifa letu linapaa sana...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Chini ya utawala wa Magufuli, Taifa limepata hasara ya mabilioni na pia upotevu mkubwa wa fedha uliozua utata

    Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL. Hasara na upotevu huu...
  8. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

    Salaam mama, hongera kwa kuanza kazi vizuri na pole kwa yote utakayokuwa unakumbana nayo katika siku hizi za mwanzo. Mhe. Rais, naomba nikujuze yafuatayo: Kuna genge flani la waliokuwa wanufaika wa mfumo haramu limekupania na litatumia Media na Mitandao ya kijamii kukuandama ili upate aidha...
  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ukweli na uwazi, siasa safi na uongozi bora katika utawala wa Hayati Dkt. John Magufuli ndiyo chanzo cha ubadhirifu na ufisadi huu

    Ripoti ya Mkaguzi Mkuu na Mdhibiti wa Hesabu za serikali (CAG) mwaka 2019/2020 imesomwa na inaendelea kujadiliwa bungeni... Hali ni mbaya sana. Karibu kila wizara na taasisi/mashirika ya umma ni upotevu wa mabilioni ya fedha yasiyoeleweka na kutokuwa na ushahidi zimetumika kufanyia nini. Kubwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    Wasalam...! Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  12. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa Mama Samia hana Kabila lolote kwa Bara, mambo ya ukabila utawala wake tusahau

    Katika jambo ambalo limelalamikiwa sana lilikua ni suala la ukabila. Watu wengi walikua na manung'uniko ya chini kwa chini kua kabila moja kubwa hapa nchini ndio lilikua linawaweka sana ndugu zao juu mpaka ilifikia mpwa wa mtu anafanya kazi ngazi nyeti na watu walipohoji wakaambiwa eti wana...
  13. APA CHICAGO

    JamiiForums Tanzania Pongezi Waziri Mchengerwa kwa kuahidi kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma

    Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila yako ya dhati na Serikali ya Mhe, Rais Samia Suruhu Hassan imedhamilia kwa dhati, pokea hongera na...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili masikini na ufisadi

    Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika. Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwaChina ulikuwa dola 89 tu, wakati DR...
  16. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ifikie mahali utawala uliopo madarakani utambue haya

    1. Lengo la kukabidhiwa dola sio kufanya maisha yetu kuwa magumu kwa makusudi. 2. Hii nchi ni yetu sote, kuwa katika nafasi mlizopo ni kwa mchango mkubwa wa raia ambao mmeamua kuwafanya wanyonge makusudi. Kweli muamue tu kuvuruga mitandao ya simu kwa kuwa mmejiskia tu kuumiza raia? Raisi wetu...
  17. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kwa ufupi sana, Mtazamo wangu kwa Utawala wa Mama Samia

    Kwa Marekani wataalamu wa siasa za ndani kama Bob Bequn wanasema hivi "Siasa za Marekani zimegawanyika katika makundi makuu manne, kwanza ni siasa za Washington ambako umaarufu wa mtu kisiasa unaweza kuibuka kama uyoga na kuanguka ghafla kama jani kavu. Pili ni siasa za New York ambako siasa...
  18. chakii

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

    Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge. Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
  19. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bosi wa TAKUKURU anavaa sare za Jeshi? Nini taswira ya Utawala wa Kiraia?

    Brigedia John Mbungo, Mkurugenzi Takukuru Teuzi za wanajeshi zilishamirishwa na hulka ya Mtawala aliyepita, Hayati John P. Magufuli ambaye aliamini katika matumizi ya vitisho, nguvu na mabavu katika uendeshaji wa shughuli za Serikali. Je, bado CCM na Mh. Samia Suluhu Hassan wanaona fahari kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Utawala sikivu heleta maelewano kati ya kiongozi na wanaoongozwa

    Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi. Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi zinazotekelezeka ndio msingi wa utawala sikivi. Ufafanuzi unaotolewa na uongozi si lazima uwe chanya...
Back
Top Bottom