Utapeli wa 419 ni utapeli ambao pia unajulikana kama Lipa Ada Kabla (Advance Fee Scam). Ni utapeli ambao hufanywa kwa kiasi kikubwa nchini Nigeria, na namba 419 ni ‘code’ ya Nigeria ya kitengo cha utapeli
Utapeli huu hufanywa kwa kumuahidi mtu kiasi kikubwa cha fedha aidha kwa kumwambia...
Wandugu, Jana katika pita pita zangu huko YouTube nikakutana na hizi habari. Hawa jamaa wanajiita (Mula empire) TANZANIA PAYMENT
wengi ya walionipa Habari za hawa jamaa kupitia YouTube channel zao wanasema ni moja ya njia mpya ya kupata pesa mtandaoni.
Wanasema utaniunga Kwa Tsh 13000/= na...
Habari;
Jana nilienda na mteja wangu mmoja kwa ajili ya kufanya taratibu za kupata mkopo katika tawi moja la benki ya NMB.
Kufika nilikuta matangazo mengi sana yakitahadharisha juu ya Utapeli wa Biashara ya Madini pamoja nakubadili dola feki.
Kwanza nilishtuka na kujiuliza je ni kwamba huu...
Naomba niwaalert job seekers kwamba kuna watu wanapost kazi Zoom Tanzania kwa kutumia jina la Organization ya World Direct kitu ambacho sio kweli as ukishaapply wanataka ufanye PAR test na kulipia almost 125,400 ya Kitanzania kwa ajili ya certificate, nimewasearch na kuona wanatumia majina...
Kuwa na shaka juu ya fursa za kazi, haswa zile zinazotoa ahadi ya mapato ya uhakika au zinazohitaji ulipie kabla ya kuanza.
Ikiwa kazi hiyo inajumuisha kutengeneza au kuuza aina fulani ya bidhaa au huduma, ulizia kwanza ikiwa kweli kuna soko la bidhaa hiyo.
Uliza mrejesho kutoka kwa watu...
Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea.
Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane...
Matapeli huko mtandaoni hutengeneza wasifu bandia kwenye tovuti halali za kutafuta wachumba. Wanatumia profaili hizi kujaribu kuingia kwenye uhusiano na mtu ili waweze kupata pesa zake na maelezo binafsi.
Tapeli atakuwa na uhusiano mzuri na mtu huyo wakishazoeana ataanza kuombe pesa ili...
Bila kupoteza muda kwenye mada.
Najua wengi mshasikia sana mambo ya kutafuta sarafu flani ya zamani na kuahidiwa kupewa donge nono la pesa.
Kwanini pesa hiyo inunuliwe kwa pesa nyingi hivyo? Utaambiwa ni dawa, madini au ina kazi maalumu.
Kwa sasa kuna page hapo Insta inajitangaza kutafuta...
Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
Habari wana JF,
Leo nimeanza kuamini kuwa wale jamaa wa TUMA KWA NAMBA HII ni matapeli walio kwenye ama makamouni ya simu ama mabenki yetu.
Leo nimetumiwa kiasi fulani cha fedha kwenye simu yangu. Aliyenitumia ametumia bank kuja kwenye mtandao wa simu.
Kabla hata sijamaliza kusoma ujumbe wa...
Kuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM.
Mchezo upo hivi:
Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao ambao hujenga nyumba cha kiwango cha chini sana cement mfuko mmoja tofali 48+ tofali hufwatuliwa site...
Nadhani hata humu ni mahala sahihi pakutolea taarifa hii:
Kumekuwa na wimbi la utapeli unaofanyika na watu wanaojipambanua kuwa wanahusika na kampuni ya usambazaji wa mayai ya kisasa, watu hawa huwaambia wateja watume fedha nusu kwa kiasi cha idadi ya tray za mayai wanazotaka then nusu...
Wasalaaam na wasalimu wakuu sio mwandshi mzuri makosa muyapotezee.
Twende kwenye kisa mwaka 2015 niliingia nchini msumbiji nilikwenda kwa rafik angu alikua anafanya kazi zake uko alikua na duka na ishu zingne, ila sehemu iyo ni mgodini uko sitaji sehem gani ila iz ni baazi ya sehem ambazo watu...
Bila kuwakosea heshima, nimekuwa nikijiuliza kwa nini wengi wa wanaoingia mkenge kwenye michezo hiyo ni Walimu- wastaafu na waliopo kazini.
Busara ya kawaida inaonyesha wangekuwa ndiyo waelewa wa kuwastua wengine wasiingie kwenye mitego hiyo.
Tatizo liko wapi?
UNYONYAJI NA UTAPELI WA MADHEHEBU YA DINI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Angalizo; Makala hii inaweza isimfae kila mtu, hasa wale watu waliofunga fikra zao. Ikiwa wewe ni mmoja wao watu hao, tafadhali usisome jumbe hii. Lau kama unahitaji ukombozi wa Kifikra, uwanja ni wako.
Kila mmoja ana...
Kichwa chajieleza,
HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
Mtu yoyote aliyepata kukutana na mwanadada Elizabeth Holmes, atagundua kwamba uwa hapepesi macho mara kwa mara. Mwaka 2016 alipoulizwa, ni kitu gani angependa kuona kikitokea kufikia mwaka 2025. Homes alijibu, "Watu wengi hawakumbana na changamoto ya kuwaaga wapendwa wao." Alimaanisha kwamba...
Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini.
Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la (7) tu kwa sababu ya umasikini wa nyumbani kwao wakashindwa kuendelea na masomo.
Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.