utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rajabu Quimberlry

    JamiiForums Tanzania "Utapeli kwa njia ya mitandao" (akili yako ndiyo msaada wako dhidi ya utapeli)

    Habari ndugu zangu watanzania, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Zanzibar,naitwa Rajabu Suleiman. Nimekuwa nikisikitishwa namna watu ,binadamu wenzangu wanavyotokwa jasho wakitafta kipato, wantanzania wenzangu wanavyo tiririkwa na jasho lao kutafta mahitaji yao kwa nguvu zao na kwa njia...
  2. F

    JamiiForums Tanzania NACTE komesheni utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu Northern Highlands Moshi

    Niwaombe Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kukomesha utapeli unaofanywa na Chuo cha Ualimu cha Northern Highlands kilichopo mjini moshi mkoani Kilimanjaro pamoja na vyuo vingine jamii ya hiyo. Chuo hicho kinachomilikiwa na bwana Henry Mallya, kimekuwa kikiwadahili wanafunzi wasiokuwa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya utapeli wa ardhi/mashamba ya miti wilayani Mufindi. Wenye mashamba yao watakiwa kuhakikisha usalama

  4. W

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali/Viongozi wanahusika na utapeli huu wa Q-Net?

    Kuna hii kitu kinaitwa Q-Net, watu wanashawishiwa kuuza mashamba, kukopa kazini na kuacha ajira. Sasa hivi ofisi nyingi zipo Kimara. Najiuliza kuna mkono wa nyuma wa serikali kama njia mojawapo wakukusanya mapato? Clips nyingi za uhamasishaji ni za Makonda na viongozi wa serikali, jamani...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio janja na utapeli wa wanaojidai kuunganisha kuona mawasiliano ya mpenzi wako

    Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake. Hii maana yake NI nini? Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba atakacho kifanya NI kuanza kuku intimidate kwamba ataenda kuexpose Siri hiyo Kwa mwenye namba kuwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watano mbaroni kwa utapeli wa kutumia majina ya Taasisi za Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation

    Watu watano mkoani Mwanza wamefikishwa mahakamani wakishitakiwa kwa jumla ya makosa 16 ikiwemo kujipatia fedha zaidi ya shilingi milioni 10 kwa njia isiyo halali na kufanya utapeli kwa kutumia majina ya taasisi za mama Salma Kikwete na Mo Dewji Foundation kwenye mitandao ya kijamii. Wakisoma...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

    Mfanyabiashara, Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr. Kuku, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kufanya biashara ya haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za Umma zaidi ya Tsh. 17 bilioni. Machibya ambaye ni mkazi wa Oysterbay amesomewa...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Utapeli kama huu ukitapeliwa, utapata msaada wapi au ndio utalala nacho?

    Habari wakuu Mimi mzima kabisa wa afya Natumaini nawe pia huko mzima kabisa, bado Tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu Mpendwa Mh. William B. Mkapa R.I.P 😞🙏 Ipo hivi wakuu, nipo nawaza kitu ambacho kipo ubongoni mwangu nimekifikiria tu ghafla. Ipo hivi Huku Maeneo ninapoishi jina (kapuni)...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utapeli: Mgombea Ubunge atia nia kugombea majimbo tofauti , ni Rorya na Tarime Mjini , kila jimbo na Chama chake

    Ikiwa kama nimemsingizia basi nisamehewe , bali rada za wapekuzi wetu waliotapakaa nchi nzima wanaoangalia kwa karibu sana uadilifu wa wagombea wamenasa mmoja wa watia nia akiendesha siasa za kishamba zisizoeleweka Ingekuwa ni kwenye soka basi bila shaka TFF ingemfungia bila huruma , lakini...
  11. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mnada Poa ni Tatu Mzuka iliyobadilisha jina

    Hawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI) Na wanatumia media kwa nguvu kubwa. WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA KIPINDI KUJIELEZEA WAMEFANYA NINI MIAKA MITANO. TENA WAKATI HUU wa uchaguzi. Media hizi zinatumika...
  12. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Hey guys, hivi hii ni kweli au utapeli?

    Hey guys salamu nawasalimu habari ya nyinyi? Naomba kuuliza wakati nipo net naperuzi kuna page imefunguka kuna maelezo nimejaza then vikatokea vibox nikabifungua ikatokea iPhone 11 wakaniambia nimeshinda kuipata hiyo gift nijaze details zangu including bank card number hii iko vipi? Code...
  13. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Huu ni ushauri wa bure. Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati. Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi. Kupiga picha na selfie kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kama for centuries hakuna dawa ya mafua toka mitishamba, epuka na utapeli wa Madagascar and the like!

    Mpaka kesho hakuna dawa ya mafua na limekuwa tatizo la waafrika/dunia from time immemorial. Leo anatokea tapeli anawadanya mnachukua ndege kwenda eti kuchukua dawa! AIDS imeua mpaka leo na ahueni ilipatikana baada ya USA scientists kuleta ARV! Mitishamba imetumika sana ikaonekana hopeless, watu...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ukinunua 500 mb unapewa 250 mb huu n utapeli yakinifu airtel

    Hayaa mambo nilijua tcra wameshayamaliza bado yanaendelea aise corona nyingine hii kha
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Vijana 11 wakamatwa kwa utapeli wa 'ile pesa tuma kwenye namba hii'

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia vijana 11 wenye umri wa kati ya miaka 20 na 25 kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kupitia Mtandao wa Facebook kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali na wasanii maarufu. Aidha vijana hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanashirikiana na mawakala wa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PSSSF acheni uhuni na utapeli, kama hela za pensheni hamna semeni

    Acheni kuwasumbua wazee wa watu. Leo masikini wazee wanakwenda kutafuta hela zao bank wanaambiwa hakuna hela kwa vile hamjahakikiwa. Hamjawahi kutoa notice ya uhakiki kwa mwezi wa January, 2020, mnategemea mtu atapataje taarifa. Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue...
  18. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Huyu anajifunza utapeli au ni mbobevu

  19. DocJayGroup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  20. Singida ndio home

    JamiiForums Tanzania UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

    Ni kijana ambae hapo nyuma amepata kufanikiwa kwa haraka sana na kuishi maisha ya juu sana na kukiri kuwa na uwezo wa kutengengeneza takribani milioni 9 kila wiki, Ilifikia kipindi akanunua gari ya kifahari aina ya BMW X6, sijui kama ilikuwa ni bahati mbaya au maksudi kimaslahi hio gari ilikula...
Back
Top Bottom